Tag: Ubelgiji
Chadema wakanusha kuhusu kurejea kwa Lissu.
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimekanusha taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu uwezekano wa kurejea nchini kwa Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho, Tundu Lissu kutokea Ubelgiji alipokuwa…
Zitto kabwe amtetea Samatta.
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amefunguka na kumtetea mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania ambaye sasa anakipiga klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji , Mbwana…
Zitto Kabwe amemtembelea na Samatta Ubelgiji.
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe leo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii amewajulisha watanzania kuwa amefanikiwa…
Mbunge Zitto Kabwe Amtembelea Tundu Lissu Ubelgiji.
Mbunge Kigoma Mjini (ACT- Wazalendo), Zitto Kabwe amemtembelea Tundu Lissu nchini Ubelgiji anakoendelea na matibabu ya viungo na saikolojia tangu Januari 7, 2018. Lissu ambaye…
Maofisa wa Umoja wa Ulaya EU wamtembelea Lissu hospitali.
Maofisa watatu wa Jumuiya ya Ulaya (EU) jana Februari 5,2018 wamemtembelea Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu anayeendelea na matibabu nchini Ubelgiji. Lissu alishambuliwa…
Lissu: Nimetolewa ‘risasi’ nyingine mwilini.
Dar es Salaama. Siku 35 baada ya Tundu Lissu kusema mwili wake bado una risasi moja baada ya kutolewa nyingine 15, jana mbunge huyo wa…
Mbwana Samatta atangaza habari njema.
Baada ya watanzania na mashabiki wa soka watanzania wakiwa wanasononeka kutokana na kipenzi chao na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta kusikia…
Tundu Lissu Alivyowasili na Kupokelewa Ubelgiji.
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu amewasili katika uwanja wa ndege jijini Brussels, nchini Ubelgiji ambapo amepelekwa kwa ajili ya awamu ya tatu ya…
Tundu Lissu apelekwa Ubeljiji kwa matibabu zaidi
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu ametoka Hospitali ya Nairobi nchini Kenya leo Jumamosi asubuhi kwenda nchini Ubeljiji kwa matibabu zaidi ya kuurejesha mwili…
Abiria azua taharuki uwanja wa ndege baada ya kutamka ‘Allah Akbar’
Abiria tisa wamezua taharuki kwenye kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Zaventem, nchini Ubelgiji baada ya mmoja wao kutamka matamshi yaliyosikika ‘Allah Akbar’ kwa sauti…