Posted in News

Chadema wakanusha kuhusu kurejea kwa Lissu.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimekanusha taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu uwezekano wa kurejea nchini kwa Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho, Tundu Lissu kutokea Ubelgiji alipokuwa…

Continue Reading...
Posted in News

Mambo 13 Aliyosema Tundu Lissu baada ya Bombadier kuachiwa.

Mbunge wa Singida, Tundu Lissu amesema ameona taarifa ya Msemaji wa Ikulu, Gerson Msigwa, kwamba ndege aina Bombardier iliyokuwa imezuiliwa Canada inakuja nchini. Kupitia ukurasa…

Continue Reading...
Posted in News

Wanasiasa, watumishi wa umma kupigwa ‘stop’ kuwania uongozi TLS

Mabadiliko ya kanuni za uchaguzi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) zimewagonganisha viongozi wake na ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) baada ya kudaiwa…

Continue Reading...
Posted in News

Mbunge Zitto Kabwe Amtembelea Tundu Lissu Ubelgiji.

Mbunge Kigoma Mjini (ACT- Wazalendo), Zitto Kabwe amemtembelea Tundu Lissu nchini Ubelgiji anakoendelea na matibabu ya viungo na saikolojia tangu Januari 7, 2018. Lissu ambaye…

Continue Reading...
Posted in News

Tundu Lissu Amuumbua Lemutuz Baada ya Kudai ni Rafiki yake ” Lemutuz Asilazimishe Urafiki”

Baada ya Lemutuz kuandika katika ukurasa wake kuwa Tundu Lissu alikuwa rafiki yake mkubwa…Tundu Lissu amefunguka na kudai Lemutuz asilazimishe urafiki ambao haukuwepo… Jisomee Hapa…

Continue Reading...
Posted in News

Maofisa wa Umoja wa Ulaya EU wamtembelea Lissu hospitali.

Maofisa watatu wa Jumuiya ya Ulaya (EU) jana Februari 5,2018 wamemtembelea Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu anayeendelea na matibabu nchini Ubelgiji. Lissu alishambuliwa…

Continue Reading...
Posted in News

Afya ya Tundu Lissu yazidi kuimarika Sasa Anaweza Kutembea Mwenyewe, Kuoga

Afya ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, ambaye anaendelea na matibabu nchini Ubelgiji, inazidi kuimarika na sasa anaweza kufanya mambo mengi mwenyewe ikiwamo…

Continue Reading...
Posted in News

Baada ya Lowassa kwenda Ikulu, Tundu Lissu amezungumza haya

Baada ya Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa kumtembelea Rais Magufuli Ikulu jana January 9, 2018 Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu  ambaye yupo nchini Ubelgiji…

Continue Reading...
Posted in News

Tundu Lissu apelekwa Ubeljiji kwa matibabu zaidi

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu ametoka Hospitali ya Nairobi nchini Kenya leo Jumamosi asubuhi kwenda nchini Ubeljiji kwa matibabu zaidi ya kuurejesha mwili…

Continue Reading...
Posted in News

Serikali yamjibu Tundu Lissu

Serikali imesema haioni sababu ya kuendelea kulumbana na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ambaye, anapata matibabu jijini Nairobi baada ya kushambuliwa kwa risasi Mjini…

Continue Reading...