Posted in News

Walichokisema Diamond na Nandy Baada ya Kuhojiwa TCRA

Wasanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Faustina Charles ‘Nandy’ wamehojiwa kwa saa mbili na Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA). Wakizungumza mara baada ya kumaliza mahojiano…

Continue Reading...
Posted in News

Zinaweza zikafungiwa nyimbo zetu zikachezwa za kina Nicki Minaj – Diamond

Msanii Diamond Platnumz bado anaonekana kutokubaliana na uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) wa kuzifungia nyimbo zake mbili ambazo ni Waka na Hallelujah. Muimbaji…

Continue Reading...
Posted in News

TCRA yafungia nyimbo 15 za bongo fleva Diamond,Jux,Roma,Nay wa mitego wamo.

Nyimbo mbili za Diamond Platnamz ni miongoni mwa nyimbo 15 zilizopigwa marufuku kupigwa katika radio nchini. Nyimbo kadha za wanamuziki Ney wa Mitego, Roma Mkatoliki,…

Continue Reading...
Posted in News

Bei ya kupiga simu mitandao tofauti mbioni kuwa karibu na bure.

SERIKALI imelieleza Bunge kuwa gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine nchini zitashuka kufikia Sh. mbili kwa dakika mwaka 2022 kutoka Sh. 15.6…

Continue Reading...
Posted in News

TCRA yamfafanulia Mzee Mrema kuhusu waliomzushia kifo.

Baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Parole nchini, Mh. Agustino Lyatonga Mrema kusema anaenda kufungua kesi ya madai ya mabilioni ya shilingi TCRA kwa watu…

Continue Reading...
Posted in News

Televisheni 5 Nchini Zapigwa Faini na TCRA kwa Kukiuka Maadili ya Utangazaji

Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA, imevipiga faini vituo vitano vya Televisheni  kwa makosa ya ukiukwaji wa taratibu za kutangaza taarifa ya habari hapa nchini. Adhabu…

Continue Reading...