Posted in News

Siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 13 May.

Siku kama ya leo miaka 305 iliyopita alizaliwa mjini Paris Alexis Cloude Clairaut mwanahesabati mashuhuri wa Ufaransa. Alikuwa na hamu kubwa na somo la hesabati…

Continue Reading...
Posted in News

Siku kama ya leo miaka 184 iliyopita, alizaliwa mvumbuzi wa tuzo za amani za Nobel na vilipuzi mabomu yaani dynamite

Siku kama ya leo miaka 184 iliyopita, alizaliwa Alfred Nobel mkemia wa Sweden na mvumbuzi wa dynamite. Nobel alikuwa na shauku kubwa ya kujifunza sayansi…

Continue Reading...
Posted in News

Siku kama ya leo miaka 6 iliyopita,dikteta wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi akamatwa na kuuawa.

Siku kama ya leo miaka 6 iliyopita, dikteta wa zamani wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi alikamatwa na wanamapinduzi karibu na mji wa bandari wa Sirte…

Continue Reading...
Posted in News

leo katika historia duniani : Siku kama ya leo miaka 236 iliyopita Marekani ilijipatia uhuru wake.

Miaka 236 iliyopita katika siku inayofanana na ya leo,Charles Cornwallis,kamanda wa kikosi cha wanajeshi wa Uingereza nchini Marekani alisalimu amri mbele ya George Washington, kamanda…

Continue Reading...
Posted in News

Siku kama ya leo miaka 146 iliyopita alifariki dunia mgunduzi wa kwanza wa computer

Siku kama ya leo miaka 146 iliyopita alifariki dunia msomi wa Uingereza na mvumbuzi wa mashine ya kikokoteo ama compyuta ya kwanza kwa jina la…

Continue Reading...
Posted in News

Yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 17 octoba

Siku kama ya leo mwaka 1956 mwanaanga mwanamke wa kwanza mwenye asili ya afrika bi Mae C. Jemison alizaliwa. Siku kama ya leo ya tarehe…

Continue Reading...
Posted in News

Yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 16 octoba

Miaka 71 iliyopita katika siku kama ya leo, mwafaka na tarehe 16 Oktoba 1946, kwa mujibu wa hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Nuremberg walinyongwa viongozi…

Continue Reading...
Posted in News

Yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 14 octoba

Siku kama ya leo miaka 18 iliyopita alifariki dunia Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nyerere Alizaliwa mjini Butiama mkoani Mara mwaka…

Continue Reading...
Posted in News

Siku kama ya leo octoba 13 miaka 2556 iliyopita mji wa kihistoria wa Babel ulitekwa.

Siku kama ya leo miaka 2556 iliyopita mji wa kihistoria wa Babel ulitekwa na Kurosh, mwasisi wa utawala wa kizazi cha Hakhamaneshi. Ili kuweza kuudhibiti…

Continue Reading...
Posted in News

Yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 12 octoba

Tarehe 12 Oktoba miaka 525 iliyopita mvumbuzi na baharia wa Kitaliano, Christopher Columbus alivumbua bara la America. Columbus alianza safari yake ya baharini kwa kutumia…

Continue Reading...