Posted in News

Shilole ahukumiwa na Mahakama kulipa faini ya milioni 14 baada ya kupatikana na hatia ya utapeli.

Msanii wa filamu na muziki nchini, Zuwena Mohamed maarufu kama ‘Shilole’ amehukumiwa kulipa faini na Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam….

Continue Reading...
Posted in News

Polisi yasema askari wa pikipiki maarufu kama tigo marufuku kutoza faini.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema askari wanaotembea na pikipiki maarufu kama ‘tigo’ hawana mamlaka ya kutoza faini kwa…

Continue Reading...