Posted in News

Diamond Athibitisha Kumhamishia Hamisa kwenye Mjengo mpya wa ghorofa.

Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz amethibitisha tetesi zilizokuwa zinasambaa mtandaoni kuwa amemuhamisha hamisa mobeto kwenye mjengo mkali wa ghorofa maeneo ya mbezi…

Continue Reading...
Posted in News

Mzee wa Upako: Nampenda Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu, simpendi Alikiba Ana kiburi

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, amemtaja msanii ambaye anamkubali kati ya Alikiba na Diamond pamoja…

Continue Reading...
Posted in News

Zari Asema Hawezi Kumpeleka Diamond mahakamani kwa Sababu ya matunzo ya mtoto.

Mwanamama Zari the Bossy Lady ambae alibahatika kupata watoto wawili na msanii Diamon Platinumz lakini baadae wawili hao walikuja kutengana hivyo Zari kuondoka na watoto…

Continue Reading...
Posted in News

Diamond na Mama Diamond sasa haziivi.

Msanii Diamond platnumz na mama yake inasemekana hawana mahusiano mazuri kutokana na ukweli kwamba siku ya jana akaunti ya instagram ya mama yake ilionyesha kuwa…

Continue Reading...
Posted in News

Alikiba amemzidi Diamond,Kuwashindanisha ni kitu kibaya – Tunda Man.

Msanii wa muziki Bongo, Tunda Man amefunguka na kusema kuwa mashabiki wanaowashindanisha Alikiba na Diamond wanakosea. Muimbaji huyo kupitia Refresh ya Wasafi TV amesema kuwa…

Continue Reading...
Posted in News

Nilimpenda sana Diamond ila dharau zilizidi – Zari

Aliyekuwa Baby Mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady amesema alimpenda sana muimbaji huyo na kila mtu alifahamu hilo ila madharau yalizidi ndipo akaamua…

Continue Reading...
Posted in News

Diamond, Nandy, Mpoto na Monalisa Watinga Bungeni

Wanamuziki Diamond, Nandy na Mwenyekiti wa CUF anayetambulika na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba ni miongoni mwa wageni waliohudhuria kikao…

Continue Reading...
Posted in News

Walichokibaini BASATA baada ya kumhoji Diamond

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), limeeleza kuwa, baada ya kufanya mahojiano na msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, wamebaini kuwa vijana…

Continue Reading...
Posted in News

Lemutuz amtuhumu Naibu waziri kushirikiana na mtu kumshusha Diamond.

Wakati BASATA wakimtuhumu Diamond kulewa na umaarufu na kufanya abishae na Naibu waziri ambaye anawakilisha Serikali, bado huko katika mitandao ya kijamii watu wamezidi kuonyesha…

Continue Reading...
Posted in News

Alichokisema Papi kocha baada ya nyimbo za Diamond na Nay kufungiwa.

Wakati mjadala ukiendelea baada ya sekali kufungia baadhi ya nyimbo za wasanii ambazo zilionekana kwenda kinyume na maadili, Papii Kocha ametoa mtazamo wake kuhusuana na…

Continue Reading...