Posted in News

Chadema wakanusha kuhusu kurejea kwa Lissu.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimekanusha taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu uwezekano wa kurejea nchini kwa Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho, Tundu Lissu kutokea Ubelgiji alipokuwa…

Continue Reading...
Posted in News

Kiongozi wa juu Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) ajiuzulu.

Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), Gertrude Ndibalema amejiuzulu wadhifa huo kuanzia jana Machi 11,2018. Gertrude aliyeshika wadhifa huo tangu mwaka…

Continue Reading...
Posted in News

waliojeruhiwa kwa risasi maandamano ya CHADEMA waachiwa kwa dhamana.

Watu watatu wanaodaiwa kuwa wafuasi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shtaka la kufanya mkusanyiko isivyo…

Continue Reading...
Posted in News

Polisi wafunguka kuhusu majeruhi wa risasi.

Kamanda wa Polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni, Murilo Jumanne Murilo amefunguka na kukiri kweli wanawashikilia watu watatu ambao ni majeruhi wa risasi katika tukio lililopelekea…

Continue Reading...
Posted in News

Diwani wa CHADEMA Kilombero aliuawa kwa kisasi – Polisi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Urich Matei amefunguka na kusema kuwa kifo cha Diwani wa Kata ya Nawala tarafa ya Ifakara wilayani Kilombero, Godfrey…

Continue Reading...
Posted in News

Chadema yatangaza kuyakataa matokeo ya Siha na Kinondoni.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vicent Mashinji imeeleza kuwa baada ya upigaji wa kura katika uchaguzi kumalizika Chadema wametoa tathmini yao ya…

Continue Reading...
Posted in News

Wafuasi Chadema wapigwa mabomu Kinondoni.

VURUMAI kubwa imeibuka jijini Dar es Salaam, jioni hii, kufuatia jeshi la polisi kutumia mabomu ya machozi, risasi za moto na maji ya kuwasha kukabiliana…

Continue Reading...
Posted in News

Polisi yasema haitambui maiti iliyookotwa coco beach kuwa mwanachama wa chadema

POLISI Wilaya ya Kinondoni imesema itapambana na watakaovuruga uchaguzi mdogo wa marudio katika Jimbo la Kinondoni unaotarajiwa kufanyika Februari 17 mwaka huu. Pia imesema maiti…

Continue Reading...
Posted in News

Aliyetekwa na kiongozi wa chadema aliyeuawa asimulia.

Mwanachama mmoja wa CHADEMA ambaye amefahamika kwa jina moja la Reginald amesimulia jinsi ilivyotokea mpaka yeye pamoja na Kiongozi wa CHADEMA aliyeuawa kwa kupigwa mapanga,…

Continue Reading...
Posted in News

Mwanasiasa Tambwe Hizza wa Chadema Afariki Dunia.

Mwanasiasa mkongwe na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tambwe Hizza amefariki dunia asubuhi ya kuamkia leo (Alhamis ) akiwa nyumbani kwake kwa…

Continue Reading...