Tag: afariki dunia
Breaking: Mwanamuziki wa bongo fleva Sam wa Ukweli afariki dunia.
Msanii wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2018 katika hospitali ya palestina sinza baada ya kuugua na…
Msanii wa Bongo fleva Jebby, afariki dunia.
Msanii wa bongo fleva anayefahamika kwa jina la Jebby ambaye amewahi kufanya vyema na wimbo kama Swahiba amefariki dunia jana April 22, 2018 mjini Dodoma…
Mwanasayansi maarufu wa fizikia prof Stephen Hawking afariki dunia.
Prof Stephen Hawking, mwanafizikia maarufu duniani, amefariki dunia akiwa na miaka 76, familia yake imetangaza. Mwingereza huyo alifahamika sana kwa kazi yake ya kisayansi kuhusu…
Kiongozi upinzani Zimbabwe Morgan Tsvangirai afariki dunia
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai amefariki dunia nchini Afrika kusini. Kwa mujibu wa kiongozi Mwandamizi wa chama cha MDC, Tsvangirai mwenye umri…
Mwanasiasa Tambwe Hizza wa Chadema Afariki Dunia.
Mwanasiasa mkongwe na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tambwe Hizza amefariki dunia asubuhi ya kuamkia leo (Alhamis ) akiwa nyumbani kwake kwa…
Breaking News: Mzee Kingunge Ngombale Mwiru afariki dunia.
Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Mzee Kingunge Ngombale-mwiru amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospital ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu Mtoto wa marehemu aitwaye Tonny Ngombale-Mwiru…
Mtoto wa miezi sita aliyepigwa na polisi Kenya aaga dunia
Mtoto wa miezi sita aliyejeruhiwa na maafisa wa polisi baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi yaliozua utata nchini Kenya amefariki, kulingana na familia yake.Samantha…