Gari lenye kasi zaidi duniani latarajiwa kufanyiwa majaribio Oktoba
Gari lenye mwendo wa kasi zaidi duniani litakimbia kwa mara ya kwanza kabisa tarehe 26 mwezi Oktoba,Gari litakimbia kwa kasi ya chini wakati wa majiribio…
Bondia Floyd Mayweather Kutua Tanzania.
PROMOTA na Meneja maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Juma “Chief” Ndambile yupo katika mikakati ya kumleta nchini bondia maarufu wa ngumi za kulipwa Duniani,…
Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya.
eshi la polisi Mkoa wa Ilala, limewakamata watu saba akiwemo msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro maarufu kama ‘Chid Benz’ kwa tuhuma za…
Simchukii Nandy – Ruby
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ ameibuka na kueleza kuwa hafikirii wala hajawahi kumchukia msanii mwenzake, Faustina Charles `Nandy’ kama watu wengi wanavyozusha mitandaoni….
Muziki wetu hauna mlezi, ndio maana wasanii wananyonywa – Mkubwa Fella
Meneja wa Diamond Platnumz na muanzilishi wa kundi la TMK Wanaume Family na Yamoto Band amesema muziki wetu umechelewa kuwanufaisha wasanii wetu kwa kipindi kirefu…
Mtoto wa miezi sita aliyepigwa na polisi Kenya aaga dunia
Mtoto wa miezi sita aliyejeruhiwa na maafisa wa polisi baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi yaliozua utata nchini Kenya amefariki, kulingana na familia yake.Samantha…
Kim Jong-un akabidhiwa mpango wa kushambulia kisiwa cha marekani
Kiongozi wa Korea Kaskazini amepokezwa habari kuhusu mpango wa taifa hilo wa kutaka kurusha kombora hadi katika kisiwa cha eneo la pacific cha Guam kinachomilikiwa…
Mwanafunzi maskini Ashinda Ubunge Kenya
Aliyekuwa mgombea wa Ubunge Igembe Kusini nchini Kenya, John Mwirigi (24) ameshinda nafasi hiyo baada ya matokeo kutangazwa na Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka…
Korea Kaskazini yasema itakishambulia kisiwa cha Marekani cha Guam siku chache zinazokuja.
Korea Kaskazini imesema mpango wake ya kufyatua makombora kwenda kisiwa cha Marekani cha Guam, utakuwa tayari hivi karibuni huku majibizano ya kivita kati yake na…
Furaha zatawala leo ujio wa Wanafunzi Lucky Vicent
Furaha imetawala ujio wa watoto watatu wa Shule ya Lucky Vicent waliowasili leo Ijumaa, Agosti 18 wakitokea nchini Marekani kwenye matibabu baada ya kupata ajali…