Posted in News

Yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 27 august

Agosti 27 mwaka 1896 yaani miaka 120 iliyopita, kulitokea vita vya muda mfupi zaidi duniani huko visiwani Zanzibar eneo ambalo ni sehemu ya Jamhuri ya…

Continue Reading...
Posted in News

Polisi Yaanza Kuchunguza Mlipuko Ulioteketeza Ofisi za Mwanasheria Fatma Karume.

Ofisi ya IMMMA House inazomilikiwa na wanasheria kadhaa akiwepo Fatma Karume na Lawrence Masha   zimeungua moto usiku wa kiamkia leo ambapo chanzo cha moto huo…

Continue Reading...
Posted in News

Baada ya WCB kuachia ‘Zilipendwa’Ommy Dimpoz atuma dongo lingine

Baada ya Ommy Dimpoz wiki hii kuandika ujumbe ambao uliichafua team nzima ya WCB na baadaye kuufuta, mkali huyo wa wimbo Cheche, Jumamosi hii amepost…

Continue Reading...
Posted in News

Matonya asema kuibiwa ‘Zilizipendwa’ na WCB

Msanii wa Bongo Flava, Matonya ameelezwa kushangazwa na WCB kutoa wimbo ‘Zilipendwa’ jina ambalo ameshalitumia katika ngoma yake. Kupitia mtandao wa Instagram Matonya ametoa pongezi…

Continue Reading...
Posted in News

Alichokipost Diamond muda mfupi baada ya Alikiba kuachia nyimbo yake..

Muda mfupi baada ya mwimbaji staa Alikiba kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ leo August 25, 2017, staa mwingine wa Bongofleva kutokea WCB,…

Continue Reading...
Posted in News

Mobeto: Mimi Na Mwanangu Tunauawa Wakati Wowote

Sakata la Hamisa Hassan ‘Mobeto’ kudaiwa kuzaa kwa siri na msanii wa Bongo Fleva, limechukua sura mpya baada ya mrembo huyo kufichua kuwa anatishiwa kuuawa…

Continue Reading...
Posted in Videos

(OFFICIAL VIDEO)Alikiba – SEDUCE ME.mp4

DOWNLOAD HQ VIDEO DOWNLOAD MP3  

Continue Reading...
Posted in Mp3 Download

(3.50MB)Download Alikiba – SEDUCE ME.mp3

DOWNLOAD

Continue Reading...
Posted in News

Mahakama yamtia hatiani kesi ya dawa za kulevya Mfanyabiashara Yusuf Manji

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo August 25, 2017 imemtia hatiani Mfanyabiashara Yusuf Manji katika kesi ya kutumia dawa za kulevya aina ya Heroin. Uamuzi…

Continue Reading...
Posted in News

Mwanamke aacha kazi ghafla baada ya kushinda karibu bil 2 za kibongo kwenye bahati nasibu.

Mshindi wa pesa nyingi zaidi kuwahi kujishindiwa na mtu binafsi katika shindano la bahati nasibu Amerika Kaskazini – jumla ya $758.7m (£590m) – amejitokeza kuchukua…

Continue Reading...