LHRC latoa tamko shambulio la ofisi za Mawakili
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na kufedheheshwa na tukio la kuvamiwa na kulipuliwa na mabomu kwa ofisi ya mawakili wa IMMA…
Uchambuzi wa Afande Sele kuhusu muziki wa Alikiba na Diamond
Msanii mkongwe wa muziki, Afande Sele amefunguka kwa kudai kuwa katika utafiti wake mdogo alioufanya amegundua Alikiba ana mashabiki wengi mjini huku Diamond akidai anapendwa…
Picha ya utupu iliyopigwa na Young Dee na Amber Lulu yazua gumzo mitandaoni
Dakika chache zilizopita picha ya rapper Young Dee akiwa na Amber Lulu imesambaa katika mitandao ya kijamii na kupelekea kuibua sitofahamu. Hits maker huyo wa…
Korea Kaskazini yarusha kombora juu ya anga ya Japan
Korea kaskazini imerusha makombora yake ambayo yalipita Japan kabla ya kudondokea baharini. Makombora hayo yalisafiri kuelekea mashariki karibu kilomita elfu moja juu ya kisiwa cha…
Yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 29 august
Na siku kama ya leo miaka 68 iliyopita Urusi ya zamani ilifanya majaribio ya siri ya bomu lake la kwanza la nyuklia. Kwa utaratibu huo…
Kimbunga kibaya chaikumba Marekani
Watu takriban 2,000 wameokolewa kutoka kwa mafuriko katika mji wa Houston na viunga vyake, huku kimbunga Harvey kikiendelea kusababisha mvua kubwa sana maeneo ya jimbo…
Yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 28 august
Siku kama ya leo miaka 60 iliyopita kombora la kwanza la kuvuka mabara lilirushwa hewani na wasomi wa Urusi ya zamani. Siku nne baadaye yaani…
Lissu atangaza mgomo wa siku mbili kwa mawakili wote
Baraza la Uongozi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) limewataka mawakili nchi nzima kutokwenda mahakamani Jumanne na Jumatano kama njia ya kupinga Kampuni ya Immma…