Posted in News

Meneja wa Diamond Babu Tale mikononi mwa Yono apewa siku 14 kulipa mil 250.

Meneja wa msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya (Bongo fleva), Abdul Nassib maarufu Diamond Platnum, Hamis Taletale na nduguye Idd Taletale sasa wanachungulia kifungo…

Continue Reading...
Posted in News

Rais Mugabe ataka hukumu ya kifo ianze kutekelezwa Zimbabwe

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ametaka hukumu ya kifo kurejeshwa nchini humo.Matamshi yake yanakuja baada ya afisa wa wizara ya sheria, kufichua mwezi uliopita kuwa…

Continue Reading...
Posted in News

Mabosi Acacia wajiuzulu mmoja aliyetangaza kutolipa dola mil 300 kwa serikali.

Dar es Salaam. Wakati utekelezaji wa makubalino baina ya Serikali na Barrick ukisubiriwa, Ofisa Mtendaji Mkuu na Ofisa Mkuu wa Fedha wa Kampuni ya Acacia,…

Continue Reading...
Posted in News

Lusinde amshangaa Lowassa Kumuita dume Nyalandu, ahoji jike CHADEMA ni Nani!

Kada Maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Jimbo la Mtera Mkoani Dodoma amewasihi Watanzania kumpuuza Mwanasiasa Lazaro Nyalandu ambaye juzi ametangaza kujivua…

Continue Reading...
Posted in News

Yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 2 Novemba.

Siku kama ya leo ya novemba 2 ya mwaka 1996 waasi wa kitusi wakiongozwa na majeshi ya Rwanda wavamia mji wa Goma unaopatikana huko Jamhuri…

Continue Reading...
Posted in Videos

(OFFICIAL VIDEO)Rich Mavoko ft Patoranking – RUDI.mp4

DOWNLOAD VIDEO DOWNLOAD MP3

Continue Reading...
Posted in News

Yaliyomo katika magazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 2 mwezi wa 11

 

Continue Reading...
Posted in News

Watetezi wa wanyama walaani vifaranga kuchomwa moto.

Watetezi wa haki za wanyama wamelaani kuteketezwa vifaranga vya kuku 6,400 vilivyoingizwa nchini kinyume cha sheria. Vifaranga hivyo mali ya Mary Matia (23), vyenye thamani…

Continue Reading...
Posted in Mp3 Download

(3.27MB)Download Mimi Mars – SITAMANI.mp3

DOWNLOAD

Continue Reading...
Posted in News

Barua ya Katibu Mkuu CCM kuhusu kujiuzulu kwa Nyalandu,tayari tulishamvua ubunge

Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM…

Continue Reading...