Posted in News

Mchungaji abatiza waumini kwa kutumia pombe.

Mchungaji mmoja huko Afrika Kusini amekuwa akikosolewa vikali baada ya kuanza kubatiza washirika kwa kutumia vilevi ambavyo wanavipenda kitendo ambacho ni kinyume na utaratibu. Askofu…

Continue Reading...
Posted in News

Kuichagua CCM ni kufurahia mateso – Lissu

Mbunge Singida Mashariki Tundu Antiphas Lissu ametuma ujumbe kwa wapiga kura kwenye kata zenye uchaguzi ya kwamba kuwapatia kura za ushindi Chama Cha Mapinduzi ni…

Continue Reading...
Posted in News

Harmorapa na yeye kufuata nyayo za Dogo Janja.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Harmorapa ambaye hakauki kwenye mitandao kwa vitendo vyake vya kiki, amesema na amini naye ipo siku atatimiza ndoto zake…

Continue Reading...
Posted in News

Watu wanne wafariki baada ya malori kugongana uso kwa uso.

Watu wanne wamefariki dunia baada ya magari mawili ya mizigo kugongana uso kwa uso katika eneo la Sangasanga wilayani Mvomero. Miongoni mwa waliokufa katika ajali…

Continue Reading...
Posted in News

Twitter Watoa Ufafanuzi Baada Ya Akaunti Ya Trump Kufungwa.

Mfanyakazi katika kampuni ya mtandao wa kijamii wa Twitter, ameifunga akaunti ya Rais wa Marekani Donald Trump, @realdonaldtrump, kitendo ambacho kimeelezwa na kampuni hiyo kuwa…

Continue Reading...
Posted in Videos

(OFFICIAL VIDEO)Nyandu Tozzy ft Young Dee & Chin Bees – DOUBLE DOUBLE.mp3

DOWNLOAD VIDEO DOWNLOAD MP3

Continue Reading...
Posted in News

Zilipendwa wa Uwoya amtumia ujumbe Dogo Janja.

Mwanamuziki na aliyewahi kuwa mpenzi wa muigizaji Irene Uwoya, Msami Baby amempongeza msanii mwenzake Dogo Janja kwa kufunga ndoa na muigizaji huyo huku akiwasifu kwamba…

Continue Reading...
Posted in News

Mkuu wa wilaya amsimamisha mwenyekiti kwa kuchungulia watu usiku.

MKUU wa Wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro amemsimamisha kazi mwenyekiti wa kijiji cha Sayu, kata ya Pandagichiza, Mataifa Balekele (54) baada ya wananchi wa kijiji…

Continue Reading...
Posted in News

Kifo cha Mwanariadha Ismail Juma chaacha pigo kwa taifa.

Mwanariadha aliyekuwa anachipukia katika mbio za nusu Marathon, Ismail Juma aliyefariki kwa ajali, taarifa hiyo imewachanganya viongozi wa riadha na wanariadha wenzake kutokana na umahili…

Continue Reading...
Posted in News

Picha – Mfanyakazi wa TPA afariki na rafikiye katika ajali mbaya ya gari akiwahi kusikiliza hukumu ya mama yake

Mahakama  ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Arusha/ Arumeru imewatia hatiani waliokuwa wafanyakazi 6 wa Benki ya Exim tawi la Arusha na kuwatupa…

Continue Reading...