Posted in News

Mjane asimulia mauaji ya kikatili ya mwanaye yaliyofanywa na askari polisi jijini Mwanza.

Mwanza. “Ninapata machungu makubwa mno ninapomuona askari aliyemuua mwanangu kikatili na wenzake wako huru. Mimi sasa hivi ninacholilia ni kwamba haki itendeke, manake huyu alikuwa…

Continue Reading...
Posted in News

Kalapina afunguka kilichompoteza Harmorapa kwenye gemu.

Msanii wa muziki wa rap Bongo, Kalapina amefichua kilichompoteza Harmorapa katika game baada ya kung’aa kwa kipindi kifupi. Rapper huyo ambaye pia mtangazaji wa tv,…

Continue Reading...
Posted in News

Kigwangalla amtumbua mkurugenzi wanyamapori wa hifadhi ya Serengeti.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr. Hamis Kigwangalla amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa wanyamapori wa hifadhi ya Serengeti, kwa tuhuma mbalimbali zinazomkabili. Dr. Kigwangalla ambae alizungumza…

Continue Reading...
Posted in News

Mh. Zitto aripoti polisi, apigwa kalenda

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Mh. Zitto Kabwe, leo ameripoti kituo cha Polisi Chang’ombe kama alivyotakiwa baada kuhojiwa na kuachiwa kwa dhamana Oktoba 31,…

Continue Reading...
Posted in News

Madee akerwa na wanaosema ndoa ya Dogo Janja na Irene Uwoya ni kiki.

Msanii Madee ameonyesha kukerwa na baadhi ya watu hata wasanii ambao wanadai ndoa ya Dogo Janja na Irene Uwoya ni kiki. Madee ambaye ni kama…

Continue Reading...
Posted in News

Mwalimu acharazwa viboko na mwalimu mkuu mbele ya wanafunzi.

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Migango wilayani Biharamulo amemchapa viboko mwalimu mwenzake mbele ya wanafunzi akimtuhumu kwa wizi wa sahani tano pamoja na nusu…

Continue Reading...
Posted in News

Serikali yafanunua kukwama kwa ujio wa Bombardier mpya.

Serikali imezungumzia ujio wa ndege ya tatu iliyonunuliwa na Serikali aina ya Bombardier Q400 ambayo ilitarajiwa kuwasili nchini Julai mwaka huu ikisema bado inafanyiwa vipimo…

Continue Reading...
Posted in News

Askari Marekani auwa watu 27 kanisani wakifanya ibada,makumi wakijeruhiwa.

Watu wasiopungua 27 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na askari wa zamani wa kikosi cha Jeshi la Anga la Marekani dhidi…

Continue Reading...
Posted in News

Yaliyomo katika magazeti ya leo jumatatu ya tarehe 6 mwezi wa 11

 

Continue Reading...
Posted in News

Yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 6 Novemba.

Siku kama ya leo miaka 204 vita vya kwanza vya Simon Bolivar, shujaa wa uhuru wa mataifa ya Amerika ya Latini vya kukomboa nchi ya…

Continue Reading...