online

Top 30

Asali Yenye Miaka zaidi ya 2000 Yakutwa Kwenye Mapiramidi ikiwa na virutubisho vyote.


MAPIRAMIDI ya Misri ni miongoni mwa maajabu saba ya dunia lakini ndani yake, kumegunduliwa maajabu mengine yaliyowashangaza wengi. Mwaka 2006, wataalamu wa mambo ya kale waliokuwa wakifanya utafiti kwenye mapiramidi hayo, waligundua kitu kilichowashangaz

Je wajua Bahari Mbili Zinazokutana Lakini Maji 'Hayachanganyikani'?


UMEONA picha na video zinazosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii zikionesha mahali ambapo bahari mbili zinakutana lakini bado maji yake yanaonekana kutochanganyika? Kama hujaona basi kwa taarifa yako, bahari mbili za Atlantic na Pacific, kuna sehem

Fahamu kuku wa maajabu aina ya 'Ayam Cemani' wenye nyama na mifupa meusi


Kuku hao ambao hata viungo vya ndani kama ulimi, maini, utumbo na mifupa vyote vina rangi nyeusi walianza kuingia kwa mara ya kwanza barani Ulaya mnamo mwaka 1998 kwa ajili ya utafiti wa kibiolojia kwenye za Uholanzi, Ujerumani, Slovakia na Czech Republic

Mabaki ya mji wa kale wa 'majitu' yagunduliwa Ethiopia


Wataalamu wa mambo ya kale wamegundua mabaki ya mji wa kale ambao ulikuwa umesahaulika mashariki mwa Ethiopia.Wanaakiolojia hao wanakadiria kwamba mji huo ulikuwepo kuanzia karne ya 10 na ulikuwa kitovu cha biashara katika eneo hilo.Kugunduliwa kwa mabaki

Yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 27 Mei


Na miaka 107 iliyopita katika siku kama ya leo, aliaga dunia akiwa na umri wa miaka 67 Robert Koch, mtaalamu wa vijiumbe maradhi na tabibu mashuhuri wa Kijerumani aliyegundua chanzo cha maradhi ya kifua kikuu au TB. Daktari Robert Koch alianza kufanya uta

Yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 25 Mei


Katika siku kama ya leo miaka 54 iliyopita, hati ya Muungano wa Nchi Huru za Afrika OAU ilitiwa saini kwa kuhudhuriwa na nchi 30 za Kiafrika na kwa utaratibu huo kukawa kumeandaliwa uwanja wa kuasisiwa taasisi ya kuziunganisha pamoja nchi za Kiafrika. Wa

Je unawajua wakongwe wanaopenda kufanya kazi duniani?


David Goodall, Mwansayansi mkongwe Australia Mkongwe huyo wa miaka 103 mwaka jana alishinda kesi kuendelea kufanya kazi katika chuo kikuu kilichoko magharibi mwa Australia cha Edith Cowan huko Perth.Dr Goodall aliagizwa kufanya kazi akiwa nyumbani 2017 h

Yaliyotokea siku kama ya leo kwenye historia duniani May 8


Siku kama ya leo miaka 222 iliyopita, Antoine Lavoisier msomi wa Ufaransa alinyongwa kufuatia kujiri harakati ya mapinduzi makubwa ya nchi hiyo. Lavoisier alikuwa mvumbuzi na msomi mashuhuri wa Ufaransa huku akiwa pia mwanzilishi wa kanuni ya kielimu ya e

Yaliyotokea siku kama ya leo kwenye historia duniani May 5


Siku kama ya leo miaka 196 iliyopita, alifariki dunia Napoleon Bonaparte mfalme aliyekuwa na nguvu wa Ufaransa, akiwa uhamishoni. Napoleon alizaliwa mwaka 1769 na kuchukua madaraka makubwa ya uongozi baada ya mapinduzi ya Ufaransa mwaka 1789, ambapo aliif

Atengeza kitabu cha Quran cha mita 700 kwa mkono.


Raia mmoja wa Misri aliyewacha shule anatumai kuweka historia baada ya kutumia muda wa miaka mitatu akitengeza kile kinachoonekana huenda ikawa Quran kubwa zaidi duniani. Quran hiyo inayotengezwa na Saad Mohammed ambayo ameipamba, ina urefu wa mita 700 i

Yaliyotokea siku kama ya leo kwenye historia duniani May 1


Siku kama ya leo miaka 128 iliyopita yaani tarehe Mosi Mei 1889, ilitangazwa rasmi kuwa 'Siku ya Wafanyakazi Duniani'. Tarehe Mosi Mei 1886, zaidi ya wafanyakazi elfu 40 walifanya maandamano katika mji wa Chicago nchini Marekani kwa shabaha ya kudai haki

Kerengende ama chande wa kike ''hujiuwa'' ili kukwepa tendo la ngono


Utafiti mpya umebaini kwamba kerengende wa kike huwa anajifanya kuwa amekufa ili kukwepa wenzao wa kiume. Rassim Khelifa, kutoka chuo kikuu cha Zurich Switzerland, anasema kwamba aliona kerengende wa kike aliyekuwa akifuatwa na wa kiume ili kufanya mapen

Yaliyotokea siku kama ya leo kwenye historia duniani April 15


Siku kama ya leo miaka 565 iliyopita, alizaliwa mchoraji na msanii mashuhuri wa kutengeneza vinyago wa Italia Leonardo da Vinci. Mwaka 1461 alianzisha kituo cha uchoraji katika mji wa Florence nchini Italia na hatua kwa hatua akaanza kupata umashuhuri kat

Hiatoria ya Siku ya Wajinga duniani na madhara yake


Najua leo umepanga mengi ya kufanya ili kuwadanganya ndugu, jamaa na marafiki ili uifurahie Siku ya Wajinga duniani.Si wewe tu, hata kampuni, taasisi na vyombo vya habari vya kimataifa vimefanya kama wewe na pengine maelfu ya watu wameingia katika mtego

Yaliyotokea siku kama ya leo kwenye historia duniani Machi 26


Siku kama ya leo miaka 65 iliyopita, yalianza mapambano ya Mau-Mau yakiongozwa na Mzee Jomo Kenyatta, mwasisi wa nchi huru ya Kenya, dhidi ya wakoloni wa Kiingereza. Katika kipindi cha vita viwili vikubwa vya dunia, Kenya ilikumbwa na machafuko na vurugu

Uko hapa : Home -> je wajua?
Bookmark and Share
deSiGned by sundo