Posted in News

Wema Arejea Kutoka Kwenye Matibabu Nchini India

Mwana dada aliyewahi kuwa miss tanzania mwaka 2006 wema sepetu ameripotiwa kurudi kutoka india alipokwenda kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji na matatizo yanayomsumbua kwa muda…

Continue Reading...
Posted in News

Ndugu wa Sam wa Ukweli wamlaani aliyesema kafariki kwa UKIMWI, waeleza kilichomuua

Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamemjia juu producer wa muziki ambaye alikuwa wa kwanza usiku wa jana kutoa taarifa za kifo cha ndugu yao…

Continue Reading...
Posted in News

“Siwezi ku-post picha ya marehemu”- Alikiba

Msanii wa Bongo Fleva mwenye ‘hit song’ ya ‘Mvumo wa Radi’ Alikiba amefunguka na kudai sababu kubwa ya yeye kutoka ku-post picha marehemu Sam wa…

Continue Reading...
Posted in News

Kambi ya Upinzani yaitaka KKKT, Kanisa Katoliki kutoijibu serikali.

Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni, wamewataka viongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania  (KKKT) na Kanisa Katoliki, kutoijibu serikali kuhusu barua waliyopewa na…

Continue Reading...
Posted in News

A to Z kuhusu kifo cha msanii Sam wa Ukweli.

Usiku wa kuamkia Alhamisi hii zilianza kuzagaa taarifa za majonzi za kifo cha msanii wa muziki, Sam Waukweli baada ya kuugua kwa muda mfupi. Kwa…

Continue Reading...
Posted in News

Wolper aikana show yake na Harmonize asema ni utapeli hatokwepo.

Mwanadada Wolper ameamua kumlipua harmonize na kumwita tapeli baada ya harmonize kutangaza katika vyombo vyahabari kuwa kutakuwa na show yake mbagala na katika show hiyoa…

Continue Reading...
Posted in News

Breaking: Mwanamuziki wa bongo fleva Sam wa Ukweli afariki dunia.

Msanii wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2018 katika hospitali ya palestina sinza baada ya kuugua na…

Continue Reading...
Posted in News

Auawa kwa jiwe lililomkandamiza wakati akilichimba.

Mwanza. Mkazi mmoja wa Kanindo jijini Mwanza amefariki dunia baada ya kukandamizwa na jiwe alilokuwa akilichimba kwa ajili ya kutengeneza njia, kazi aliyokuwa ikimpatia riziki….

Continue Reading...
Posted in News

Siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 7 juni.

Siku kama hii ya leo miaka 139 iliyopita, sawa na tarehe 7 Juni 1879 vilianza vita vilivyochukua muda wa miaka mitano kati ya nchi za…

Continue Reading...
Posted in News

Yaliyomo katika magazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 7-6-2018.

Continue Reading...