Trump, Kim ana kwa ana Singapore.
Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wamewasili Singapore kwa ajili ya mkutano wao unaoelezwa…
Ndoto za Simba kucheza na Everton zazimwa na Gor Mahia.
Kwa mara ya pili mfululizo, Gor Mahia ya Kenya imebeba taji la SportPesa Super Cup baada ya ushindi wa mabao…
Alikiba ni mkali kwenye soka kuliko wachezaji wa simba na yanga – Julio
Kocha wa Dodoma FC Jamhuri Kihwelo maarufu 'Julio', amesema amekuwa akijitahidi kutaka kumsajili kwenye timu yake nyota wa muziki wa…
Siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 10 juni.
JE WAJUA? kuwa samaki aina ya JELLYFISH huwa hana ubongo,macho,matamvua,mifupa na hata moyo!? Miaka 228 iliyopitaka katika siku kama ya…
Ishu ya umri katika mapenzi yamshangaza Zari, ‘Watu na vibabu vyenu’
Mzazi mwenza wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ameelezwa kushangazwa na jinsi jamii inavyomchukulia mwanamke mwenye umri mkubwa kuwa…
Mbunge auawa kwa risasi na watu wasiojulikana.
Mmoja wa wanasiasa maarufu nchini Uganda Ibrahim Abiriga ameuawa kwa kupigwa risasi jana usiku. Polisi imesema mwanasiasa huyo wa Chama…
Siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 9 juni.
JE WAJUA? kuwa jicho la binaadamu linauwezo wa kugundua kwa haraka zaidi vivuli vyenye rangi ya kijani kuliko rangi zozote…