Posted in News

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Abbas Kandoro Afariki Dunia.

Mkuu wa mkoa mstaafu Mzee Abbas Kandoro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo  katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar alikolazwa kwa matibabu. Kabla…

Continue Reading...
Posted in News

Msanii Gigy Money apata mtoto.

Msanii wa muziki wa bongo fleva nchini  Gift Stanford maarufu kama Gigy Money, amefanikiwa kujifungua salama mtoto wa kike na kumpatia jina la Myra. Gigy…

Continue Reading...
Posted in News

Yaliyomo katika magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 28-04-2018.

 

Continue Reading...
Posted in News

Diamond, Nandy, Mpoto na Monalisa Watinga Bungeni

Wanamuziki Diamond, Nandy na Mwenyekiti wa CUF anayetambulika na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba ni miongoni mwa wageni waliohudhuria kikao…

Continue Reading...
Posted in News

Wema Sepetu: – Sitaki salamu ya Hamisa Mobeto

Nyota wa filamu nchini, Wema Sepetu amesema, hana bifu na Hamisa Mobetto, ila pia si rafiki yake. Wasichana hao walikuwa marafiki lakini hivi karibuni zilienea…

Continue Reading...
Posted in News

Siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 27 April.

JE WAJUA? kuwa pafu lako la kulia linaingiza hewa nyingi ya oxygen zaidi ya pafu lako la kushoto?. Siku kama ya leo mwaka 1994 uchaguzi…

Continue Reading...
Posted in News

Mama mzazi wa Lady Jaydee afariki dunia.

Mama mzazi wa msanii Lady Jaydee, Bi. Martha Mbibo amefariki dunia.Bi. Mbibo amefariki alfajiri ya jana Aprili 26, 2018 akiwa nyumbani kwake Jet, Dar es…

Continue Reading...
Posted in News

Yaliyomo katika magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 27-04-2018.

 

Continue Reading...
Posted in News

UWOYA: Tatuu ya Masogange Haijaniuma!

STAA mkali wa filamu Bongo, Irene Uwoya amefunguka kuwa ‘tatuu’ aliyoichora kama kumbukumbu kwa rafiki yake kipenzi, video queen maarufu Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ haikumuuma…

Continue Reading...
Posted in News

Siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 26 April.

JE WAJUA? kuwa muda mrefu zaidi kwa binaadamu aliyekaa kwenye ”coma” yaani mahututi asiyejitambua ni miaka 37? Siku kama ya leo miaka 54 iliyopita yaani…

Continue Reading...