Posted in News

Trump, Kim ana kwa ana Singapore.

Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wamewasili Singapore kwa ajili ya mkutano wao unaoelezwa kuwa wa kihistoria. Trump aliwasili…

Continue Reading...
Posted in News

Ndoto za Simba kucheza na Everton zazimwa na Gor Mahia.

Kwa  mara ya pili mfululizo, Gor Mahia ya Kenya imebeba taji la SportPesa Super Cup baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba SC…

Continue Reading...
Posted in News

Alikiba ni mkali kwenye soka kuliko wachezaji wa simba na yanga – Julio

Kocha wa Dodoma FC Jamhuri Kihwelo maarufu ‘Julio’, amesema amekuwa akijitahidi kutaka kumsajili kwenye timu yake nyota wa muziki wa Bongofleva Alikiba kutokana na kuwa…

Continue Reading...
Posted in News

Siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 10 juni.

JE WAJUA? kuwa samaki aina ya JELLYFISH huwa hana ubongo,macho,matamvua,mifupa na hata moyo!? Miaka 228 iliyopitaka katika siku kama ya leo sawa na tarehe 10…

Continue Reading...
Posted in News

Yaliyomo katika magazeti ya leo Jumapili ya tarehe 10-6-2018.

 

Continue Reading...
Posted in News

Ishu ya umri katika mapenzi yamshangaza Zari, ‘Watu na vibabu vyenu’

Mzazi mwenza wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ameelezwa kushangazwa na jinsi jamii inavyomchukulia mwanamke mwenye umri mkubwa kuwa na mahusiano na kijana mdogo…

Continue Reading...
Posted in News

Mbunge auawa kwa risasi na watu wasiojulikana.

Mmoja wa wanasiasa maarufu nchini Uganda Ibrahim Abiriga ameuawa kwa kupigwa risasi jana usiku. Polisi imesema mwanasiasa huyo wa Chama Tawala cha National Resistance Movement…

Continue Reading...
Posted in News

Siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 9 juni.

JE WAJUA? kuwa jicho la binaadamu linauwezo wa kugundua kwa haraka zaidi vivuli vyenye rangi ya kijani kuliko rangi zozote zile? Na miaka 56 iliyopita…

Continue Reading...
Posted in News

Yaliyomo katika magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 9-6-2018.

Continue Reading...
Posted in News

“Hamisa Hata Akitaka Kuzaa Watoto Kumi na Diamond Azae Tu”-Zari

Mfanyabiashara maarufu na mama watoto wa Staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Zarinah Hassan amemwaga povu na kusema Hamisa hata akitaka kumzalia watoto kumi Diamond…

Continue Reading...