Posted in News

Yaliyomo katika magazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 17-5-2018.

Continue Reading...
Posted in News

Mahakama yamwachia huru aliyenasa na kiroba mabegani.

Mahakama ya Mwanzo Mlandizi mkoani Pwani imemuachia huru, kijana Frank Joseph (23) aliyeiba kiroba cha Mahindi debe 1 na kumnasia kichwani baada ya mlalamikaji kutofika…

Continue Reading...
Posted in News

Ebitoke: Sitaki kusikia kuhusu Ben Pol.

Mwanadada muigizaji na mchekeshaji maarufu nchini Ebitoke amefunguka kwa hasira na kusema kuwa hataki kumsikia Ben Pol katika masikio yake kwa sababu Ben pol amekuwa…

Continue Reading...
Posted in News

Siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 16 May.

JE WAJUA? kuwa tembo wanafanya mawasiliano kwa kutumia mawimbi ya sauti yenye frekuensi ya chini zaidi ambayo binaadamu hawezi kusikia? Siku kama ya leo miaka…

Continue Reading...
Posted in News

Yaliyomo katika magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 16-5-2018.

 

Continue Reading...
Posted in News

Baada ya kutoka kujifungua Gigy Money nae alamba shavu.

Mara baada ya kujaliwa kupata mtoto wa kike, msanii wa muziki Bongo na video vixen, Gigy Money amerejea tena kwenye headlines zake, time hii amepata…

Continue Reading...
Posted in News

Kijana aambulia patupu baada ya kumuomba rais Magufuli nauli.

Rais John Magufuli amemnyima fedha kijana mmoja aliyemuomba kiongozi mkuu huyo wa nchi nauli, wakati alipokwenda kwa mamantilie  eneo la Bandari Dar es Salaam kunywa…

Continue Reading...
Posted in News

Rich Mavoko Ashindwa Kujizuia Aanika Penzi Lake na Lulu Diva Hadharani

Mwanamuziki wa Bongo fleva kutoka WCB, Rich Mavoko ameshindwa kuzuia hisia zake na kuanika hadharani penzi lake kwa msanii mwenzake Lulu Diva. Kwa muda mrefu…

Continue Reading...
Posted in News

Wema aondoka mahakamani baada ya kuugua ghafla.

JANA Mrembo Wema Sepetu ameshindwa kujitetea katika kesi yake ya kutumia dawa za kulevya baada ya kuugua ghafla akiwa mahakamani hapo. Wakili wa Serikali, Costanine…

Continue Reading...
Posted in News

Auliwa kwa kumlazimisha mpenzi wake kufunga ndoa.

Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Samuel Bariluno katika kijiji cha Nakwaya, wilaya ya Mityana chini Uganda amemuua kwa bastola mchumba wake kwa kile kinachosemekana…

Continue Reading...