Posted in News

Serikali yakiri kushikiliwa kwa ndege yake Bombadier Q-400 Dash 8 nchini Canada.

Serikali kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Idara ya Habari, Zamaradi Kawawa imejibu hoja zilizotolewa na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu kushikiliwa kwa ndege…

Continue Reading...
Posted in News

Asali Yenye Miaka zaidi ya 2000 Yakutwa Kwenye Mapiramidi ikiwa na virutubisho vyote.

MAPIRAMIDI ya Misri ni miongoni mwa maajabu saba ya dunia lakini ndani yake, kumegunduliwa maajabu mengine yaliyowashangaza wengi. Mwaka 2006, wataalamu wa mambo ya kale…

Continue Reading...
Posted in News

Je wajua Bahari Mbili Zinazokutana Lakini Maji ‘Hayachanganyikani’?

UMEONA picha na video zinazosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii zikionesha mahali ambapo bahari mbili zinakutana lakini bado maji yake yanaonekana kutochanganyika? Kama hujaona…

Continue Reading...
Posted in News

Veta waja na mwiba kwa madereva bodaboda,teknolojia mpya ukivua helmet bodaboda haiwaki.

Mwalimu wa fani ya elektroniki kutoka Mamlaka ya elimu na mafunzi ya ufundi (Veta) kituo cha Kipawa jijini dar es Salaam, Aneth Mganga, amegundua teknolojia…

Continue Reading...
Posted in News

Gari lenye kasi zaidi duniani latarajiwa kufanyiwa majaribio Oktoba

Gari lenye mwendo wa kasi zaidi duniani litakimbia kwa mara ya kwanza kabisa tarehe 26 mwezi Oktoba,Gari litakimbia kwa kasi ya chini wakati wa majiribio…

Continue Reading...
Posted in News

Bondia Floyd Mayweather Kutua Tanzania.

PROMOTA na Meneja maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Juma “Chief” Ndambile  yupo katika mikakati ya kumleta nchini bondia maarufu wa ngumi za kulipwa Duniani,…

Continue Reading...
Posted in News

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya.

eshi la polisi  Mkoa wa Ilala, limewakamata watu saba akiwemo msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro maarufu kama ‘Chid Benz’ kwa tuhuma za…

Continue Reading...
Posted in News

Simchukii Nandy – Ruby

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ ameibuka na kueleza kuwa hafikirii wala hajawahi kumchukia msanii mwenzake, Faustina Charles `Nandy’ kama watu wengi wanavyozusha mitandaoni….

Continue Reading...
Posted in News

Muziki wetu hauna mlezi, ndio maana wasanii wananyonywa – Mkubwa Fella

Meneja wa Diamond Platnumz na muanzilishi wa kundi la TMK Wanaume Family na Yamoto Band amesema muziki wetu umechelewa kuwanufaisha wasanii wetu kwa kipindi kirefu…

Continue Reading...
Posted in News

Mtoto wa miezi sita aliyepigwa na polisi Kenya aaga dunia

Mtoto wa miezi sita aliyejeruhiwa na maafisa wa polisi baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi yaliozua utata nchini Kenya amefariki, kulingana na familia yake.Samantha…

Continue Reading...