Posted in News

Baba Kanumba amuomba Mwakyembe Amkumbuke Kwenye Urithi wa Mwanae.

Baba mzazi wa marehemu Steven Kanumba ametuma salamu kwa waziri wa habari, tamaduni na michezo Mh Mwakyembe kwa kumuomba amkumbuke katika mali za Kanumba ambazo…

Continue Reading...
Posted in News

Watanzania 11 walioshtakiwa ubakaji Afrika Kusini waachiwa huru

Vijana 11 raia wa Tanzania waishio Johannesburg, Afrika Kusini walioshtakiwa kosa la ubakaji wameachiliwa huru na hakimu mkazi wa Mahakama ya Johannesburg. Walikuwa wameshtakiwa kwa…

Continue Reading...
Posted in News

Watoto Sita Wafa Katika Ajali mbali ya Gari Tanga.

WATOTO sita wamefariki dunia jana na watatu kujeruhiwa vibaya baada ya gari lililokuwa limebeba majani ya chai kutoka kijiji cha Kimbo, Wilaya ya Korogwe, Tanga,…

Continue Reading...
Posted in News

Tunda na Casto Dickson Wadaiwa Kumwagana.

Video vixen maarufu Bongo, Tunda Sebastian amedaiwa kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake mtangazaji wa Clouds Tv Casto Dickson. Tetesi hizi za wawili hawa kutemana zilianza…

Continue Reading...
Posted in News

Siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 30 May.

Siku kama ya leo mwaka 1971 idara ya Marekani inayohusiana na masuala ya anga yaani NASA wazindua chombo kipya cha anga za juu kijulikanacho kama…

Continue Reading...
Posted in News

Yaliyomo katika magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 30-5-2018.

 

Continue Reading...
Posted in News

Mahakama yamzuia Prof Lipumba kutumia fedha za CUF.

Mahakama Kuu ya Tanzania imemzuia Jaji Francis Mutungi na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini au Wakala wake yeyote yule kutoa fedha za…

Continue Reading...
Posted in News

Mama Wema ajichanganya mahakamani ushahidi wa mwanaye.

Mama mzazi wa muigizaji Wema Sepetu, Mariamu Sepetu, amejikuta katika wakati mgumu mahakamani baada ya kushindwa kutoa nyaraka zinazothibitisha binti yake ameshindwa kufika kutokana na…

Continue Reading...
Posted in News

Diamond afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kumuomba Zari warudiane.

Msanii Diamond Platnumz amefunguka kwa mara ya kwanza! Baada ya kusambaa kwa maneno ya chinichini kwamba mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemuangukia…

Continue Reading...
Posted in News

Khadija Kopa kufuata nyayo za Mzee Yusuf kuacha muziki.

Msanii mkongwe wa muziki wa Taarabu nchini Tanzania, Khadija Kopa maarufu kama Malkia wa mipasho amesema kuwa hana muda mrefu na yeye anaachana na muziki…

Continue Reading...