Author: admin
Serikali yakiri kushikiliwa kwa ndege yake Bombadier Q-400 Dash 8 nchini Canada.
Serikali kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Idara ya Habari, Zamaradi Kawawa imejibu hoja zilizotolewa na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu kushikiliwa kwa ndege…
Asali Yenye Miaka zaidi ya 2000 Yakutwa Kwenye Mapiramidi ikiwa na virutubisho vyote.
MAPIRAMIDI ya Misri ni miongoni mwa maajabu saba ya dunia lakini ndani yake, kumegunduliwa maajabu mengine yaliyowashangaza wengi. Mwaka 2006, wataalamu wa mambo ya kale…
Je wajua Bahari Mbili Zinazokutana Lakini Maji ‘Hayachanganyikani’?
UMEONA picha na video zinazosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii zikionesha mahali ambapo bahari mbili zinakutana lakini bado maji yake yanaonekana kutochanganyika? Kama hujaona…
Veta waja na mwiba kwa madereva bodaboda,teknolojia mpya ukivua helmet bodaboda haiwaki.
Mwalimu wa fani ya elektroniki kutoka Mamlaka ya elimu na mafunzi ya ufundi (Veta) kituo cha Kipawa jijini dar es Salaam, Aneth Mganga, amegundua teknolojia…
Gari lenye kasi zaidi duniani latarajiwa kufanyiwa majaribio Oktoba
Gari lenye mwendo wa kasi zaidi duniani litakimbia kwa mara ya kwanza kabisa tarehe 26 mwezi Oktoba,Gari litakimbia kwa kasi ya chini wakati wa majiribio…