Author: admin
Sakata la watoto waliotekwa Arusha wawili wapatikana
Ikiwa ni siku chache baada ya vyombo vya habari kuripoti kuhusu kupotea kwa watoto wanne waliodaiwa kutekwa, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha,…
Madaktari wapigana ndani ya chumba cha upasuaji
Picha ya madaktari wawili wakipigana wakati walipokuwa wakimfanyia mgonjwa upasuaji, imesambaa katika mitandao ya kijamii Madaktari hao wawili wamesimamishwa kazi kwa muda nchini India, baada…
Moyo wa Manji umewekwa vyuma kumsaidia kupumua – Shahidi
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKIC), Prof. Mohammed Janab ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo August 30, 2017 kuwa moyo…
Kesi ya akina Aveva na Kaburu yapigwa tena kalenda
Kesi inayomkabili Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ leo imeendelea katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo upande wa mashtaka…
Bomoabomoa yamkimbiza mwenyekiti wa mtaa Dar
Mwenyekiti wa Mtaa wa Masaki Kata ya Toangoma, Hassan Bakari anadaiwa kutoroka akiwa chini ya ulinzi wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Temeke baada…
Muuguzi awaua wagonjwa 90 ili awafufue
Muuguzi nchini Ujerumani anayetumikia kifungo cha maisha kwa kuwaua wagonjwa sita, imebainika aliwaua wengine 84. Idadi ya watu aliowaua imemwingiza katika rekodi ya mwanamke aliyefanya…
Tundu Lissu aikana tweet kuhusu “Seduce me” ya Alikiba
Mwanasheria wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameikana akaunti ya Twitter iliyoandika maoni kumpongeza mwanamuziki Alikiba, huku ikiwa na picha ya wanamuziki…