Simchukii Nandy – Ruby

August 18, 2017 admin 0

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ ameibuka na kueleza kuwa hafikirii wala hajawahi kumchukia msanii mwenzake, Faustina Charles `Nandy’ kama watu wengi wanavyozusha mitandaoni. […]