Jiunge na Promosheni ya kibabe ya Total Wash.
Promosheni ya Total Wash
Karibu Total Wash uoshewe gari lako kitaalam kuanzia bei ya TSh. 7,000 na upate air freshener ya BURE. Ofa hii ni kuanzia tarehe 18 – 31 Agosti 2020 au mpaka bidhaa kuisha.
Huduma hii inapatikana kwenye vituo vifuatavyo:
- Total Africana (Mbezi Africana)
- Total Bagamoyo Road (Morocco)
- Total East Oysterbay (Barabara ya Ali Hassan Mwinyi)
- Total Port Access (Sokota – Temeke)
- Total Ubungo (Shekilango)