Total kuwazawadia wanawake watakaovalia nyekundu papo hapo!

Total kuwazawadia wanawake watakaovalia nyekundu papo hapo!

Kampuni ya mafuta ya Total itasambaza upendo kwa wanawake watakaofika katika vituo vya Total husika wakiwa wamevaa nguo nyekundu siku ya Valentine watapata zawadi papo hapo katika vituo ya Total vifuatavyo:

  • Total Africana (Mbezi Africana)
  • Total Bagamoyo road (Makutano ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi and Kawawa)
  • Total Port Access (Temeke Sokota)
  • Total South Side (Mbagala Kokoto)
  • Total Uhuru (Kariakoo, Uhuru road)
  • Total Ukuni (Bagamoyo)
  • Total Ubungo (Shekilango)
  • Total University (Mlimani City)

Author: admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *