(OFFICIAL VIDEO)Diamond Platnumz – KANYAGA mp4 Download

(OFFICIAL VIDEO)Diamond Platnumz – KANYAGA mp4 Download

(OFFICIAL VIDEO)Diamond Platnumz – KANYAGA mp4 Download

KANYAGA video from SIMBA Diamond Platinumz is on the air.Check it

PAKUA VIDEO LINK 1 HAPA!

PAKUA VIDEO LINK 2 HAPA!

PAKUA MP3 AUDIO HAPA!

Author: admin

9 thoughts on “(OFFICIAL VIDEO)Diamond Platnumz – KANYAGA mp4 Download

 1. Uko vizuri Diamond Platnumz (Nasibu Abdul). Siku zote Wahenga wanasema kwamba muogeleaji hazami hata maji yawe mengi vipi au kina kirefu vipi. Juhudi zako ndizo zinazokufanya kuendelea kufanya vizuri zaidi. Wimbo uko vizuri.
  Naomba usome aidia yangu ya mashairi ukiona inafaa basi nakuomba tuwasiliane kwani si haba sana naweza kutunga kujaribu kutunga mashairi pia wimbo. Au kama unakisa chochote tuma naweza kujaribu kukutengenezea kazi.

  NISEME NENO GANI?

  Niseme neno gani uelewe, niseme neno gani nieleze. X 2
  Niseme neno gani uelewe, niseme neno gani nieleze.
  Niseme neno gani uelewe, niseme neno gani nie-e-leze ieee.
  Ooo, o mamii, ooo, o mamiii. X 2
  Kila siku nasema mami, unisikilize mi mwenzakoo.
  Kila siku nasema mami, unielewe mi mwenzakoo.
  Ooo, o mamii, ooo, o mamii.X 2

  Badilisha tabia yako, unaniumiza mi mwenzakoo.
  Unajua moyo wangu waumizaa, aaa moyo wangu waumizaa.
  Ooo, o mamii, ooo, o mamii. X 2.

  Niseme neno gani uelewe, niseme neno gani nieleze. X 2
  Niseme neno gani uelewe, niseme neno gani nie – e- leze ieee.
  Ooo, o mamii, ooo, o mamii. X 2
  Badilisha mwenendo wako, unanikwaza mi mwenzakoo.
  Badilika honey wangu, utaniua mi mwenzakoo.
  Unanifanya mi nakonda – aaa- mimi mwenzako ninakwisha aa.
  Ooo, o baby i, ooo,o baby i. X 2

  Kila siku vigodoro, kanga moja unavaa.
  Pazia – ko- tu kitoro, mtaani kizazaa.
  Ooo, o mamii, ooo, o mamii. X 2

  Nyumbani kuna watoto, umemuachia nani.
  Chakula hupashi moto, watoto weka tumboni.
  Unawahi kwenye ngoma, singeli si mduara.
  Unaitwa ‘gawa nyama, kweli dunia duara.
  Lalala- lala- lalala – eee -eee, ie-eee ie ie eee iiii. X 2

  UANDISHI WA SHAIRI ( SHAIRI CHANGAMANO)

  ” EVADELILA”

  Ni kweli mapenzi karata, nyota yangu maarufu.
  Wengi wananitafuta, nyota yangu kura ya turufu.
  Sihitaji penzi la utata, wala kuchanganya harufu.
  Mapenzi ya usaliti, kikwazo cha moyo.

  Ajabu mapenzi ya mashindano, eti nani mkali.
  Sihitaji maandamano, biashara kutafuta darali.
  Pigo langu sio shidano, la msingi ridhika kwa hali.
  Mapenzi ya kweli, hutibu jeraha la moyo.

  Mimi ni mtoto wa mwanamke, na wewe ni mwanamke.
  Ya nini unitie makeke?, usinifanyie hivyo we mwanamke.
  Wataka nini mwanamke?, nipende yakini niteke.
  Evadelila jina la kike, mapenzi surambili sekeseke.

  Nimechoka kuumizwa, japo mapenzi si ujambazi.
  Moyo wangu umemezwa, moyo wako weka wazi.
  Sitarajii kulizwa, wala sihitaji ubazazi.
  Naomba unisitiri moyo, tafadhali usinivue nguo.

  Naomba niishie hapa kwani shairi hili bado linaendelea. Kama unahisi naweza kuwa msaada naomba tuwasiliane kazi ambazo ninazo ni nyingi sababu sijaanza leo ngari nipo secondary.

  MAWASILIANO

  Whatsapp : 0768019604
  Facebook Lite : 0768019604
  Phone : 0768019604
  E-mail : selekipapa @gmail .com.

  Nipo Iringa University.
  Level : Masters Degree.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *