Furahia punguzo kwa kila lita ya mafuta ya TOTAL EXCELLIUM msimu huu wa wapendanao.

Furahia punguzo kwa kila lita ya mafuta ya TOTAL EXCELLIUM msimu huu wa wapendanao.

Furahia punguzo kwa kila lita ya mafuta ya TOTAL EXCELLIUM msimu huu wa wapendanao.

Furahia punguzo la TShs 70 kwa kila lita ya mafuta ya TOTAL EXCELLIUM msimu huu wa valentine kuanzia tarehe 13 mpaka 15 Februari 2019 katika vituo vya TOTAL vilivyochaguliwa Dar es Salaam, Dodoma, Arusha, Moshi, Mwanza, Mbeya na Morogoro.

Ofa hii ni kwa magari yote, pikipiki, na bajaji.Ofa hii inapatikana katika vituo vya TOTAL vifuatavyo:

DAR ES SALAAM· Kituo cha Total East Oysterbay (Oysterbay) · Kituo cha Total Clocktower (Karibu na Clocktower)· Kituo cha Total City drive (Karibu na makao makuu ya TPA)· Kituo cha Total Chang’ombe (Makutano ya barabara ya Nyerere Road na Chang’ombe)· Kituo cha Total Bagamoyo road (Makutano ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Kawawa)· Kituo cha Total Africana (Mbezi Africana)·

Kituo cha Total Uhuru road (Mkabala na ofisi ya Mkuu wa Mkoa)· Kituo cha Total Southside (Mbagala Kokoto)· Kituo cha Total Port Access (Temeke Sokota) · Kituo cha Total Ukuni (Bagamoyo)

DODOMA· Kituo cha Total Hazina (Barabara ya Iringa)

ARUSHA· Kituo cha Total Mastercard (Njiro karibu na uwanja wa Nane Nane)

MOSHI· Kituo cha Total Kibo (Mzunguko wa YMCA)

MWANZA· Kituo cha Total Nyanza (Karibu na kituo cha mabasi Igombe)

MBEYA· Kituo cha Total Mbeya (Mataa ya Mafyati)

MOROGORO· Kituo cha Total Msamvu (Kituo cha mabasi Msamvu)

Vigezo na masharti kuzingatiwa!

Author: admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *