Mwanamuziki Chege apata mtoto.

Msanii huyo anayehit na ngoma yake mpya ya ‘Kaitaba’ aliyomshirikisha Saida Karoli, ametuma ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Instagram kutoa taarifa za kupata mtoto wa kike aitwaye Jadah.

Mwishoni mwezi wa pili msanii huyo aliweka wazi kuwa ana mpenzi na wanaishi wote ila kuhusu kuoa yeye atakuwa wa mwisho kuoa.

Author: admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *