Kumbe Diamond Karanga yabainika sio mali ya Diamond Platinumz Hawa Hapa Wamiliki..

Leo asubuhi kumetokea sitofahamu katika mitandao ya kijamii mara baadaya kuzagaa picha na video zikimuonyesha mkurugenzi wa clouds media akiwa na wadosi ambao inaaminika  ndo wamiliki wa mradi huo wakifanya ukaguzi kiwandani hapo.

Vilevile habari zinazoendelea kukiki ni kwamba diamond platinumz ni kama balozi tu wa mradi huo ambao aliunganishwa na Kusaga

Hii ni moja ya post iliyotumwa na Quisa wa shilawadu leo…

#Repost @kamandamzeemkavu with @get_repost

Ziara Ya Mwekezaji Mr Radima Clouds Media Mikocheni, Mr Radima Ni Mmiliki wa Kiwanda Kinachozalisha #DiamondKaranga Na Clouds kupitia kwa Mkurugenzi wake ni Washirika (Partners) Katika Mradi Wa #DiamondKaranga mradi ambao msanii @diamondplatnumz ni Balozi wake.. . HONGERA SANA MZEE BABA… Mm na Bondia kikono @soudybrown tuko nyuma kuiga mfano wako wa uwekezaji @shilawadu ” Mange

 

Tazama video kwa  ushahidi zaidi…Author: admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *