Posted in News

Keisha azidi kuwachanganya watu kuhusu harusi ya Uwoya na Dogo Janja

Gumzo jingine kuanzia weekend iliyopita ni taarifa za ndoa ya Msanii Dogo Janja ikidaiwa kwamba kamuoa Mwigizaji Irene Uwoya ambapo tayari wawili hao waliandika kwenye…

Continue Reading...
Posted in News

Mwimbaji staa wa bongo flava Aslay anunua BMW.

mwimbaji staa ambae hakuna kijiwe cha Bongofleva kisichomfahamu au kucheza nyimbo zake na hakika amepata mialiko ya kutosha kutumbuiza kwenye jukwaa kubwa la FIESTA 2017….

Continue Reading...
Posted in News

Vifaranga vya kuku 6,400 vilivyokamatwa Arusha vyachomwa moto.

Vifaranga vya kuku 6,400 vilivyokamatwa mpakani Namanga wilayani Longido mkoani Arusha vikiingizwa nchini kutoka Kenya Jumapili Oktoba 29,2017 vimeteketezwa. Vifaranga hivyo vyenye thamani ya Sh12.5…

Continue Reading...
Posted in Videos

(OFFICIAL VIDEO)Download Cassper Nyovest ft Vanessa Mdee – BABY GIRL.mp4

DOWNLOAD VIDEO DOWNLOAD MP3

Continue Reading...
Posted in Mp3 Download

(4.30MB)Download Cassper Nyovest ft Vanessa Mdee – BABY GIRL.mp3

DOWNLOAD

Continue Reading...
Posted in News

Meya wa Mwanza aliyetiwa selo aomba kuongea na Magufuli kwa siri.

Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire ameomba kukutana na Rais John Magufuli kwa siri kwa kuwa kuna mambo ambayo hawezi kuyasema hadharani. Bwire ametoa…

Continue Reading...
Posted in News

Profesa Jay atupa jiwe gizani.

Mbunge wa Jimbo la Mikumi Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay ametoa ujumbe unaoonekana kama ushauri kwa vyama vya siasa huku ukilenga matukio ya hivi…

Continue Reading...
Posted in News

Leo katika historia – Aliuawa Bi.Indira Gandhi waziri mkuu wa 3 wa India kwa kupigwa risasi na walinzi wake.

Tarehe 31 Oktoba 1984 yaani miaka 32 iliyopita, aliuawa Bi. Indira Gandhi, Waziri Mkuu wa wakati huo wa India. Mauaji hayo yalifanywa na walinzi wawili…

Continue Reading...
Posted in News

Mwanaume akutwa na vipande vya miili ya watu 9 kwenye jokofu.

Polisi nchini Japan wamemkamata mwanamume mmoja baada ya kupata viungo vya miili tisa katika nyumba yake iliyo Zama huko Tokyo. Polisi walipata vichwa viwili kwenye…

Continue Reading...
Posted in News

Rais wa Catalonia aliyefutwa na Serikali ya Madrid Carles Puigdemont akimbilia Ubelgiji.

Rais wa Catalonia aliyefutwa Carles Puigdemont ameenda nchini Ubelgiji, wakili wake aliye chini humo anasema. Wakili huyo Paul Bekaert, hakuzungumzia ripoti kuwa Bw. Puigdemont anajiandaa…

Continue Reading...