Top 30

Bondia Floyd Mayweather Kutua Tanzania.


PROMOTA na Meneja maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Juma “Chief” Ndambile yupo katika mikakati ya kumleta nchini bondia maarufu wa ngumi za kulipwa Duniani, Floyd Mayweather Jr mara baada ya pambano lake Conor McGregor. Awali, Mayweather alipanga

Mwanariadha Alphonce Simbu aing’arisha Tanzania


Mwanariadha Alphonce Simbu ameshinda medali ya shaba katika mbio ndefu za Marathon akimaliza nafasi ya tatu katika Mashindano ya Dunia ya Riadha London, Uingereza.Simbu alikimbia kwa saa 2:09:51 na kumaliza kwenye nafasi ya tatu nyuma ya Mkenya, Geoffrey

Sol Campbell kutua leo, tukutane Leaders Club Jumapili hii ni bure!


Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha SportPesa wanaendelea kufanya mambo makubwa kwa mashabiki wa soka nchini Tanzania ambapo Jumamosi hii wanamshusha yule beki kisiki wa zamani wa Arsenal, Sol Campbell. Mchezaji huyo mwenye mafanikio makubwa katika soka, a

Samatta Aandika Historia Mbele ya Rooney, Aifunga Everton


Mtanzania Mbwana Samatta ameandika historia ya kuwa Mtanzania aliyeweza kufunga bao dhidi ya timu ya Everton ambayo inashiriki Ligi Kuu ya England baada ya kufanya hivyo katika mchezo wa kirafiki akiwa ndani ya jezi ya KRC Genk. Samatta ambaye amekabidhi

Juma Nyosso: Nenda Kawaambie Nyosso Karudi


Beki mpya wa Kagera Sugar, Juma Nyosso. BEKI mpya wa Kagera Sugar, Juma Nyosso ameibuka na kuweka wazi kuwa amerejea katika Ligi Kuu Bara kwa lengo moja tu la kupiga kazi na kuonyesha uwezo wake ambao utaisaidia timu yake hiyo kufanya vizuri katika msimu

Yanga yamtema Jerry Muro.


KATIBU Mkuu wa Yanga, Boniface Mkwasa, jana amemtambulisha rasmi, Dismas Ten kuwa Ofisa wa Habari wa klabu hiyo. Kabla ya utambulisho huo, Dismas alikuwa ofisa habari wa Mbeya City ya Mbeya ambayo pia inashiriki Ligi Kuu Bara kama Yanga. Hii ina maana ku

Shabiki Amvaa na kumkumbatia Wayne Rooney Uwanjani Mechi Ikiendelea


MMOJA wa mashabiki wa Tanzania waliofika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam amejitoa ufahamu na kumvamia mshambuliaji wa Everton, Wayne Rooney kwa nia ya kumkumbatia wakati wa mchezo dhidi ya Gor Mahia ya Kenya ukiendelea uwanjani hapo. Baada ya

Picha:Rooney alivyotua Bongo na kikosi kizima cha Everton


Klabu ya Everton ya nchini Uingereza imewasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere huku kikosi hicho kikionekana kusheheni wachezaji wake nyota akiwemo Wayne Rooney.Wenyeji hao wa Goodson Park wamepokewa na Waziri wa Habari, Utamaduni

Breaking news:Mwakyembe Alivunja Barala la Michezo Tanzania(BMT).


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe leo Julai 10 amesitisha uteuzi wa mwenyekiti pamoja na wajumbe wote wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) kuanzia leo kwa mamlaka aliyopewa na sheria ya BMT Na.12 ya 1967. Mwakyembe

Taifa Stars washinda nafasi ya tatu Cosafa.


Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeibuka mshindi wa tatu katika michuano ya Kombe la Castle Cosafa 2017 baada ya kupata ushindi wa magoli 4-2 dhidi ya Lesotho nchini Afrika Kusini.Magoli hayo yaliyofungwa kwa mikwaju ya penalti baada ya mechi

Mtoto na shabiki maarufu wa Sunderland Bradley Lowery afariki dunia.


Shabiki wa klabu ya Sunderland wa umri wa miaka sita Bradley Lowery, ambaye tatizo lake la kiafya liligusa nyoyo za wengi amefariki dunia.Bardlaye alikuwa anaugua ugonjwa ambao wa Kiingereza hufahamika kama neuroblastoma - aina nadra ya saratani - tangu a

Stars yaitandika Afrika Kusini kwao COSAFA


Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars wameichapa timu ya Taifa ya Afrika kusini kwa bao 1-0 katika michuano ya kombe la Cosafa.Bao la dakika ya 18 la mshambuliaji Elias Maguri lilitosha kuipeleka Stars katika nusu fainali ya michuano katika mchezo ulioche

Haya ndo Mashitaka 28 Yanayomkabili Rais wa TFF Jamal Malinzi na wenzake


Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi hataweza kutetea nafasi yake hiyo katika Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Agosti 12 mjini Dodoma. Hiyo inatokana na kushindwa kufika kwenye usaili ulioanza jana na kumalizika kesho kwa kuwa yupo

Mwamuzi amtimua mchezaji uwanjani kwa bastola


Mwamuzi Camilo Eustaquio de Souza ametoa kali ya mwaka baada ya kuchukua bastola yake mkononi na kumkimbiza mchezaji aliyedai kumpiga ngumi.Mwamuzi De Souza, ambaye ni afisa wa polisi alisababisha taharuki kwa uamuzi wake wa kuchukua bastora mkononi wakat

Rais wa Tff Malinzi na Katibu Wake Watiwa Mbaroni na TAKUKURU


Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wake, Selestine Mwesigwa wanashikirikia na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na kupelekwa Polisi kwa ajili ya uchunguzi dhidi yao kwa tuhuma za rushwa. Hilo lime

Waziri Mwakyembe atembelea nyumbani kwa mchezaji nahodha aliyeumia wa Serengeti Boys


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb), hapo jana amepata fursa ya kumtembelea na kumjulia hali aliyekuwa nahodha wa timu ya Serengeti Boys Issa Abdi Makamba nyumbani kwao katika kitongoji cha Mlezi, Dodoma.

Uko hapa : Home -> top 30 michezo

Yaliyomo Katika Magazeti ya Leo jumapili ya tarehe 20 mwezi wa 8

Yaliyomo Katika Magazeti ya Leo jumamosi ya tarehe 19 mwezi wa 8

Furaha zatawala leo ujio wa Wanafunzi Lucky Vicent

Yaliyojiri Mahakamani Kesi ya Manji ya Uhujumu Uchumi

Yaliyomo Katika Magazeti ya Leo ijumaa ya tarehe 18 mwezi wa 8

Mtoto wa miezi sita aliyepigwa na polisi Kenya afariki dunia

Kim Jong-un akabidhiwa mpango wa kushambulia kisiwa cha marekani

Mwanafunzi maskini Ashinda Ubunge Kenya

Korea Kaskazini yasema itakishambulia kisiwa cha Marekani cha Guam siku chache zinazokuja.

Mitambo ya tume ya uchaguzi Kenya ilidukuliwa - Odinga

Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya.

Alichokiongea Mama Diamond baada ya Hamisa Mobeto kujifungua

Simchukii Nandy - Ruby

Muziki wetu hauna mlezi, ndio maana wasanii wananyonywa – Mkubwa Fella

MwanaFA, AY waendelea kupata ushindi kortini

Asali Yenye Miaka zaidi ya 2000 Yakutwa Kwenye Mapiramidi ikiwa na virutubisho vyote.

Je wajua Bahari Mbili Zinazokutana Lakini Maji 'Hayachanganyikani'?

Fahamu kuku wa maajabu aina ya 'Ayam Cemani' wenye nyama na mifupa meusi

Mabaki ya mji wa kale wa 'majitu' yagunduliwa Ethiopia

Yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 27 Mei

(3.26MB)Download Dayna Nyange - CHOVYA.mp3

(3.00MB)Download Amber LuLu - ONLY YOU.mp3

(3.35MB)Download Q Boy Msafi - UNAANZAJE.mp3

(3.00MB)Download Mo Music - DODO.mp3

(3.10MB)Download Nukta fEAT Centano - DHARAU.mp3

Bookmark and Share
deSiGned by sundo