Top 30

Yaliyotokea siku kama ya leo kwenye historia duniani April 15


Siku kama ya leo miaka 565 iliyopita, alizaliwa mchoraji na msanii mashuhuri wa kutengeneza vinyago wa Italia Leonardo da Vinci. Mwaka 1461 alianzisha kituo cha uchoraji katika mji wa Florence nchini Italia na hatua kwa hatua akaanza kupata umashuhuri kat

Hiatoria ya Siku ya Wajinga duniani na madhara yake


Najua leo umepanga mengi ya kufanya ili kuwadanganya ndugu, jamaa na marafiki ili uifurahie Siku ya Wajinga duniani.Si wewe tu, hata kampuni, taasisi na vyombo vya habari vya kimataifa vimefanya kama wewe na pengine maelfu ya watu wameingia katika mtego

Yaliyotokea siku kama ya leo kwenye historia duniani Machi 26


Siku kama ya leo miaka 65 iliyopita, yalianza mapambano ya Mau-Mau yakiongozwa na Mzee Jomo Kenyatta, mwasisi wa nchi huru ya Kenya, dhidi ya wakoloni wa Kiingereza. Katika kipindi cha vita viwili vikubwa vya dunia, Kenya ilikumbwa na machafuko na vurugu

Yaliyotokea siku kama ya leo kwenye historia duniani Machi 16


Siku kama ya leo miaka 851 iliyopita kulitiwa saini makubaliano ya kisiasa ya Acre katika kipindi cha Vita vya Msalaba baina ya Waislamu na Wakikristo. Makubaliano hayo yalitiwa saini kwa ajili ya kukabidhiwa mji wa Acre kwa Wakristo na mkabala wake kuach

Leo katika historia :Simu ya kwanza duniani ilivumbuliwa na kujaribiwa na Alexander Graham Bell


Tarehe 10 Machi miaka 141 iliyopita mvumbuzi wa Kimarekani Alexander Graham Bell alivumbua simu na siku hiyo hiyo akafanya mazungumzo ya kwanza ya majaribio ya simu na msaidizi wake Thomas Watson. Uvumbuzi huo wa simu ulileta mabadiliko makubwa katika vyo

Leo katika historia duniani:Azaliwa mtu aliyefanikiwa kupiga picha ya kwanza duniani


Katika siku kama ya leo miaka 252 iliyopita alizaliwa Nicephore Niepce mwanakemia wa Kifaransa na mmoja wa waasisi wa fani ya upigaji picha. Niepce alikuwa mtu wa kwanza aliyefanikiwa kupiga picha ya kwanza duniani. Baada ya hapo, Nicephore alitengeneza k

Yaliyotokea siku kama ya leo kwenye historia duniani Machi 1


Siku kama ya leo miaka 202 iliyopita yaani mwaka 1815, ufalme wa siku mia moja wa Napoléon Bonaparte ulianza nchini Ufaransa baada ya kukimbia sehemu aliyokuwa amebaidishiwa katika kisiwa cha Elba. Napoleon Bonaparte tarehe 27 mwezi Februari mwaka huohuo

Yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 23 Februari


Siku kama ya leo miaka 131 iliyopita, Charles Martin Hall, mvumbuzi na mwanakemia wa Marekani alifanikiwa kuvumbua njia mpya ya upatikanaji wa aluminiamu. Aluminiamu ni chuma cheupe na chepesi kinachoweza kukunjwa kwa urahisi. Aluminiamu hiyo ambayo ni ny

Je wajua njia mbalimbali zilizotumiwa kuua wapinzani duniani?


Hakuna jambo jipya kuhusu mauaji ya mtu maarufu.Ni miongoni mwa njia zilizotumika kuwaondoa ulimwenguni watu waliokuwa na uwezo mwingi am watu hatari.Lakini wauaji wengine walitumia njia za moja kwa moja kwa mfano Julius Caesar alidungwa kisu hadi kufa hu

yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani Februari 11.


Siku kama ya leo miaka 27 iliyopita, Mzee Nelson Mandela kiongozi wa harakati za kupambana na ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini aliachiwa huru baada ya kufungwa jela kwa kipindi cha miaka 27. Mandela alikamatwa mwaka 1963 na kuhukumiwa kifungo cha mai

Je ushawahi ona picha za gari la ajabu zaidi duniani!?


Hili ndilo gari refu kuliko yote duniani kama hujui na lilitengenezwa na Jay Ohrberg wa Burbank,California,huko Marekani.Gari hili linasehemu kubwa ndani ya kuweza kuwastarehesha watu 20 vilevile swimming pool,jakuzi,uwanja wa kutua helkopta vilevile gar

Leo katika historia:Eneo lenye baridi sana duniani lagunduliwa!


Miaka 81 iliyopita mwafaka na tarehe 6 mwezi Februari mwaka 1936 eneo lenye baridi zaidi duniani lilitambuliwa na jopo moja la kielimu baada ya kufanya juhudi za miaka minne na hatimaye kugundua eneo hilo. Kundi hilo la wataalamu hatimaye liligundua kuwa,

Je wajua picha za vijiji 15 vyenye mvuto zaidi duniani?


Tumezoea kuona miji mikubwa ikiwa na muonekano mzuri na ya kuvutia, lakini unaambiwa kuna vijiji pia duniani ni vizuri kwa muonekano, leo nimekutana na hii list ya vijiji 15 ambavyo vinavutia zaidi duniani.

Je wajua ?.. Faru Fausta ndiye faru mzee zaidi duniani kwa sasa apatikanaye Ngorongoro?


Ndio faru mzee duniani,sasa haoni Ngorongoro yampa ulinzi wa kijeshi FARU Fausta ndio anayesadikiwa kuwa na umri mkubwa kuliko Faru wote duniani,mwaka huu amefikisha umri wa miaka 54.Faru Fausta yupo katika mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro,lakini kutokan

Leo katika historia:dawa ya kwanza ya kutuliza maumivu ya aspirini yatengenezwa na Felix Hoffmann.


Katika siku kama ya leo miaka 117 iliyopita mfamasia wa Kijerumani Felix Hoffmann alitengeneza dawa ya kwanza ya kutuliza maumivu. Dawa hiyo hii leo inajulikana kwa jina la Aspirin. Waingereza pia waliamua kutengeneza dawa hiyo katika kipindi cha Vita vya

Uko hapa : Home -> je wajua?
Loading...
Bookmark and Share
deSiGned by sundo