Top 30

Mama mzazi wa Zari The Bosslady afariki dunia.


Zari The Bosslady ameendelea kupitia katika kipindi kigumu – Asubuhi ya leo mrembo huyo amepata msiba wa mama yake mzazi.Mrembo huyo wa Diamond amethibitisha taaifa hizo kupitia picha ya mama yake huyo aliyoiweka Instagram na kuandika, “It’s with de

Nuh Mziwanda kujiunga lebo ya Ali Kiba Rockstar4000.


MKALI wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ yupo kwenye hatua za mwisho za mchakato wa kuingia mkataba na ‘record label’ ya Rockstar4000 ambayo pia ina msanii, Ali Kiba.Akichonga na Over Ze Weekend,Nuh alisema kuwa, haitakuwa busara kila kit

Mwanamuziki wa marekani Usher Raymond atua Bongo kimya kimya


Msanii wa Marekani Usher Raymond yuko ziarani nchini Tanzania akitembelea eneo la uhifadhi wa wanyama pori la Serengti National Park.Muimbaji huyo alichapisha baadhi ya picha akiwa na familia yake katika akaunti yake ya Twitter.Alielezea hali ilivyo katik

Shemeji yetu mpya kwa Wolper kulikoni!?


KAPO mpya inayotikisa kwa sasa Bongo ni ya muigizaji Jackline Wolper na baby wake, mwanamitindo anayeitwa Brown. Tangu kuibuka kwa kapo hiyo ambayo wote wawili wanaonekana kuzama kwenye dimbwi zito la mahaba, kumekuwa na tetesi nyingi zinazomhusu shemeji

Peter Msechu:Nanenepa sababu sifanyi show


Msanii wa Bongo Flava, Peter Msechu amedai kuwa ananepa kwa sababu hafanyi show.Muimbaji huyo ambaye ameachia ngoma mpya ‘Yakawa’, ameiambia XXL ya Clouds Fm licha ya kukosa show lakini bado anajitahidi kupunguza unene na kuna baadhi ya watu wamekuwa

Beyonce akataa zawadi za watoto wake mapacha kutoka kwa Kim Kardashian


Malkia wa muziki Pop, Beyonce ameripotiwa kukataa zawadi aliyoletewa na Kim Kardashian kwa ajili ya watoto wake mapacha Rumi na Sir Carter.Kwa mujibu wa MSN.com, imeelezwa kuwa Kim alimletea Beyonce zawadi ya nguo kwa ajili ya watoto wake mapacha aliowapa

Ushauri aliopewa Rayvanny na Jason Derulo kuhusu muziki wake.


Rayvanny ambaye ameshinda tuzo ya BET amesema wakati akiwa Marekani kwa ajili ya ugawaji wa tuzo hizo, ndipo alipopata fursa ya kuzungumza na star huyo mkubwa Marekani na hitmaker wa song ‘Swalla’ na kushauriana mambo kadha wa kadha. “Alichonishaur

Mtangazaji wa EFM, maarufu kama Bikira wa Kisukuma, afariki dunia


Dar es Salaam. Aliyekuwa mtangazaji wa radio ya EFM, Sethi Katende, (maarufu kama Bikira wa Kisukuma) amefariki dunia leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.Taarifa za kifo chake zimethibitishwa leo Jumapili, Julai 9, na redio ya EFM kupitia ukurasa

Mastaa kibao Profesa J alivyofunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi bi Grace.


Msanii wa muziki, Professor Jay amefunga ndoa katika Kanisa la Mtakatifu Joseph la Posta jijini Dar es salaam jana Jumamosi Julai 08, 2017 na mpenzi wake wa siku nyingi Grace Mgonjo ambapo wamedumu kwa miaka 13 sasa. Cherekochereko za tukio kubwa la Mbun

Ommy Dimpoz Asaini RockStar4000, Aungana na Kiba,


MKALI wa muziki, Ommy Dimpoz amesaini kufanya kazi na label kubwa ya muziki, RockStar4000 inayofanya kazi kwa ukaribu na kampuni kubwa ya muziki duniani, Sony Music Entertainment.Muimbaji huyo kwa sasa ataungana na Ali Kiba ambaye alijiunga na label hiyo

Siku Chache Baada ya Kutolewa Hospitali Jini Kabula azua Timbwili jipya Hotelini


MSANII wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ juzikati alidaiwa kuzua timbwili la aina yake kwenye Hoteli ya Lamada iliyopo Ilala jijini Dar baada ya tatizo alilolipata siku chache zilizopita la kudata kiakili kudaiwa kujirudia. Kwa mujibu wa c

TOP 10: Mastaa wanaolipwa pesa nyingi kwa post moja instagram


Inawezekana ukawa ni moja kati ya mashabiki au wafuasi wazuri wa mastaa mbalimbali katika mitandao ya kijamii lakini inawezekana hujui kuwa mastaa hao huwa wanalipwa wanapopost vitu vya matangazo ya biashara kutumia instagram account zao. Staa wa soka Cr

Mwanamuziki mkongwe wa Msondo Ngoma Shaaban Dede amefariki


Mwanamuziki mkongwe kutoka Msondo Ngoma Music Band, Shaaban Dede amefariki dunia leo saa mbili asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Taarifa hizo zimethibitishwa na mtoto wake wa kiume aliyetambulika kwa jina la

Nay wa Mitego : Godzilla njoo nikusaidie kwa stress ulizonazo


Msanii wa Bongo Flava, Nay wa Mitego amezidi kuwasha moto kama inavyoeleza kwenye ngoma yake mpya ‘Moto’.Nay kupitia mtandao wa Instagram ameendelea kuwashukia baadhi ya wasanii ambao amewataja katika ngoma yake hiyo. Haya ndio aliyoandika kuhusu, Go

Alikiba afunguka kuhusu bidhaa zake mpya na lebo ya King’s Records


Umeshawahi kusikia ujio wa bidhaa mpya za Alikiba? Unajua ni vitu gani hivyo ambavyo anakuja navyo kwa mashabiki wake?.Basi tegemea kuona bidhaa za mavazi na vinywaji kutoka kwa msanii huyo. Alikiba amethibitisha hayo wakati alipokuwa akiongea na mtangaza

Mpenzi mpya wa Rihanna ni bilionea wa Toyota


Mapema wiki hii picha zinazomwonyesha mwanamuziki Rihanna akiwa ndani ya bwawa la kuogelea na mwanamume wa Kiarabu zilizagaa mitandaoni.Hatimaye Rihanna ametoka hadharani na mwanamume huyo na ametambulika kuwa ni bilionea wa magari ya Toyota nchini Saudia

Uko hapa : Home -> habari za mastaa
Bookmark and Share
deSiGned by sundo