Top 30

Trump Kupewa leo ikulu Ya Marekani.


Mshindi wa uchaguzi mkuu wa mwezi Novemba Donald Trump leo anatarajiwa kuapishwa kuwa rais wa 45 wa Marekani. Bw Trump wa Chama cha Republican anatarajiwa kuapishwa mbele ya watu 750,000 mbele ya majengo makuu ya bunge la Marekani, Capitol Building, Was

Mwanamuziki mweusi ajitoa kutumbuiza kwenye sherehe za kuapishwa Trump baada ya kutishiwa kuuawa.


Mwanamuziki wa Marekani, Jennifer Holliday amejiondoa kutumbuiza kwenye sherehe za kuapishwa kwa Donald Trump baada ya watu kumtishia kumuua yeye na familia yake.Kwa mujibu wa TMZ, staa huyo wa Dreamgirls, alikuwa amekubali kutumbuiza kwenye sherehe hizo

Mwanadamu wa Mwisho Kutembea Mwezini Gene Cernan Afariki Dunia.


MAREKANI: Mwanadamu wa mwisho kutembea mwezini Gene Cernan afariki dunia. Alirejea kutoka mwezini na ujumbe wa amani na tumaini kwa watu wote ulimwenguni. Bwana Gene Cernan ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 82, siku zote aliwasisitiza vijana kufika

Mtoto wa Rais mteule wa Gambia Adama Barrow afariki baada ya kuumwa na mbwa


Mtoto wa kiume wa rais mteule wa Gambia Adama Barrow amefariki baada ya kuumwa na mbwa.Habibou Barrow alifariki alipokuwa akipelekwa hospitalini kufuatia kisa hicho cha siku ya Jumapili, kilichotokea eneo la Manjai karibu na mji mkuu Banjul. Mazishi yake

Wabunge wa Democratic hawatahudhuria kuapishwa kwa Trump


Wabunge kadhaa wa kiume na wa kike wa chama cha Democratic nchini Marekani wamesema kuwa hawataudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Donald Trump, Ijumaa hii. Hii ni baada ya Trump kumkosoa John Lewis, mbunge na mtetezi maarufu, mwenye sifa tele wa haki

Mtoto aliyeibwa apatikana hai miaka 18 baadaye


Mtoto mchanga aliyeibwa katika hospitali moja ya jimbo la Florida nchini Marekani, amepatikana akiwa hai baada ya miaka 18 katika jimbo la South Carolina. Kamiyah Mobley ,aliibwa kutoka kwa mamake akiwa na umri wa saa 8 pekee. Mwanamke aliyejifanya kuwa

Nchi hii Afrika imeripotiwa kuwepo na ugonjwa wa Zika


Angola imeripoti visa viwili vya kwanza vya ugonjwa wa Zika kwa mujibu wa shirika la Reuters. "Hadi miezi miwili iliyopita, hatukuwa na kisa chochote, lakini sasa tuna visa viwili vya Zika," Reuters ilimnukuu waziri wa afya wa nchi hiyo José Luis Gomes S

Pambano la Chris Brown na Soulja Boy kufanyika Dubai


Drama ya pambano la Chris Brown na Soulja Boy inazidi kushika kasi. Imedaiwa kuwa pambano la ngumi la wawili hao lipigwa katika ulingo huko Dubai. Chanzo kimoja kimeuambia mtandao wa TMZ, wawili hao wamekubali kupigana kwenye pambano hilo ila wanachotaka

Museveni amteua mwanawe kuwa mshauri mkuu Uganda


Mwana wa Rais Yoweri Museveni, Meja Jenerali Muhoozi Kainerugaba na mkewe Charlotte Kutesa Kainerugaba alipokuwa anapandishwa cheo kuwa meja jenerali Mei 25, 2016.

Wakenya Wamsuta Rais Kenyatta Mtandaoni


Watumiaje wa mitandao ya kijamii wamekuwa wakimsuta Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kufuatia hatua zake za kuzindua miradi.Wakosoaji wanasema kuwa baadhi ya miradi ilizinduliwa na Rais Kenyatta ilikuwa ikiendelea au tayari ilikuwa imezinduliwa.Wengine nao wa

Watu 16 mbaroni kwa madai ya kumpora staa Kim Kardashian


Watu 16 wamekamatwa kwa kuhusishwa na wizi wa kutumia nguvu uliomkumba msanii Kim Kardashian West mjini Paris mwezi Oktoba. Utawala unasema kuwa msanii huyo raia wa Marekani aliporwa kwa nguvu na takriban watu wawili waliokuwa wamevaa sare za polisi.Wanau

Trump amteua mkwe wake kuwa mshauri mkuu Marekani


Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemteua mkwe wake Jared Kushner, kuwa mshauri mwandamizi wa Ikulu ya nchi hiyo. Jared Kushner akiwa na mke wake ambaye ni mtoto wa Donald Trump Kushner mwenye umri wa miaka 35 ambaye amemuoa binti mkubwa wa Trump, I

Picha/Video: Mastaa wajitokeza white house kwenye sherehe ya kuagwa kwa Obama


Mastaa kibao wikiendi hii walimiminika kwenye ikulu ya white house kwenye sherehe za kuagwa kwa Rais Barack Obama.

Mwanamke wa Kitanzania Akamatwa na Mzigo wa Madawa ya Kulevya Tumboni


INDONESIA: Mwanamke Mtanzania akamatwa akiwa na Wanigeria wawili wakijaribu kuingiza mihadarati. Mnigeria mmoja ameuawa akijaribu kutoroka. Mtanzania huyo alikamatwa siku ya jumatano katika Jiji la Jakarta. Baada ya upekuzi Mtanzania huyo akutwa na gramu

VIDEO: Ona Mapenzi ya Binadamu kwa Wanyama


ITIZAME VIDEO HAPA CHINI..

Aliyewaua watu 5 Marekani akamatwa


Mshukiwa alikuwa mwanachama wa kikosi cha ulinzi cha Puerto Rico na Alaska Polisi katika jimbo la Florida wanamzuilia mwuaji mshukiwa baada ya watu watano kupigwa risasi na kuawa na wengine wanane kujeruhiwa katika uwanja wa ndege wa Lauderdale. Shambu

Uko hapa : Home -> habari kuu
Loading...
Bookmark and Share
deSiGned by sundo