Top 30

Habari Zikizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili a March 26
Posted on Sunday March 26, 2017

Habari Zikizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili a March 26

Mwigulu Nchemba Aagiza aliyemtolea bastola Nape achukuliwe hatua kali za kisheria
Posted on Friday March 24, 2017

Kufuatia tukio la mtu mmoja aliyedaiwa kuwa ni Askari kumtishia Mbunge Nape Nnauye kwa kutumia bastola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amesema tukio lile halikuwa sahihi na kuagiza hatua zichukuliwe. Waziri Mwigulu Nchemba ambaye ndiye mwenye dhamana y

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya March 24
Posted on Friday March 24, 2017

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya March 24

Nape aongea Akiwa Kwenye Gari Lake baada ya kuzuiwa na polisi kufanya mkutano na waandishi
Posted on Thursday March 23, 2017

Aliyekuwa Waziri wa Habari, Nape Nnauye amezungumza na Waandishi wa habari akiwa juu ya gari lake leo maeneo ya St. Peter Osterbay Dar es salaam ikiwa ni saa chache kabla ya taarifa kutoka IKULU kutangaza kwamba uteuzi wake umetenguliwa. Hali hiyo imet

Angalia ripoti ya kamati ya uchunguzi wa tukio la RC Makonda Kuvamia Kituo cha Clouds Media
Posted on Wednesday March 22, 2017

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amedaiwa kuwatishia kuwafunga jela miezi 6 au kuwapa tuhuma za dawa za kulevya bila kupitia mahakamani wafanyakazi wa kituo cha utangazaji cha Clouds kwa kukataa kurusha habari aliyoitaka. Hayo yamebainika katika ripoti ya

Bangi yampeleka jela maisha babu wa miaka 74
Posted on Wednesday March 22, 2017

KIKONGWE Mabula Lubango (74), amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kutiwa hatiani na Mahakama ya Wilaya ya Urambo mkoani Tabora kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi. Adhabu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo,

"Kwa pamoja tumeazimia kutoandika au kutangaza habari zozote zinazomhusisha Makonda" :TEF
Posted on Wednesday March 22, 2017

Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF) leo limevitaka vyombo vya habari nchini kutokuandika au kutangaza habari zozote zinazomhusisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. TEF wameyasema hayo leo katika taarifa yao na kulaani vikali kitendo cha Mako

Sumaye: Kama kweli Makonda alifeli kidato cha nne, simlaumu kwa anachokifanya
Posted on Wednesday March 22, 2017

Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, amesema kama yasemayo kuhusu elimu ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ni kweli, hamlaumu kwa maamuzi yake mbalimbali ambayo yamekuwa yakikosolewa vikali na wananchi. Akiongea na waandishi wa habari Jum

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya March 22
Posted on Wednesday March 22, 2017

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya March 22

Mahakama yamweka huru Manji kesi ya Uhamiaji
Posted on Tuesday March 21, 2017

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeamuru mfanyabiashara Yusuf Manji ambaye alikuwa kizuizini chini ya Idara ya Uhamiaji, kuachiwa huru chini ya dhamana aliyopewa kwenye kesi namba 63 ya kutumia dawa za kulevya iliyopo Mahakama ya Hakimu Mk

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya March 21
Posted on Tuesday March 21, 2017

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya March 21

Rais Magufuli Amkingia Kifua Makonda amwambia asitishike na Kinachoendelea Mitandaoni
Posted on Monday March 20, 2017

Rais John Magufuli amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuendelea kuchapa kazi na kwamba yeye hafanyii kazi maneno ya kwenye mitandao kwasababu yeye ndiyo Rais wa nchi hii. Rais Magufuli amesema kuna baadhi ya watu wanaingilia majukumu y

Ruge athibitisha Makonda kuivamia Clouds media akiwa na silaha za moto
Posted on Monday March 20, 2017

Mkurugenzi wa Vipindi na Uendeshaji wa Kituo cha Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amehojiwa leo katika kipindi cha 360 cha televisheni ya Clouds na kuthibitisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alivamia kituo hicho.. Akizungumza na wata

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya March 20
Posted on Monday March 20, 2017

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya March 20

Taarifa ya Clouds Media Kuhusiana na Sakata la RC Makonda Kuvamia Ofisi Zao
Posted on Sunday March 19, 2017

Kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni ikiaminika ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akiingia Clouds Media akiwa na askari, Uongozi wa Clouds Media Group umetoa taarifa rasmi leo March 19 2017. Taarifa imesema…>>>’Kumekuwa na habari mbali

Muungano wa Madaktari wa Kenya (KMPDU), wawakataa Madaktari wa Tanzania
Posted on Sunday March 19, 2017

Umoja wa Madaktari, Wauguzi na Wataalamu wa Meno nchini Kenya ‘Kenya Medical Practitioners, Pharmacists and Dentists’ Union’ (KMPDU) umepinga vikali hatua ya Serikali ya Kenya kuleta madaktari kutoka Tanzania wakati Kenya ina madaktari wengi ambao

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya March 19
Posted on Sunday March 19, 2017

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya March 19

Tundu Lissu alivyonyakuwa urais wa TLS Kwa kishindo
Posted on Sunday March 19, 2017

Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), jana walifanya uchaguzi wa kumchagua rais pamoja na wajumbe wa ngazi mbalimbali za uongozi wa chama chao. Uchaguzi huo umefanyika mjini Arusha ambako wanachama wa TLS wamekutana kutekeleza ratiba hiyo

Wanawake Mbeya hula mwishoni baada ya wanaume kushiba
Posted on Saturday March 18, 2017

MOJA ya matendo ya unyanyasaji wa kijinsia unaoendelezwa na baadhi ya watu mkoani Mbeya ni wanawake na watoto wa kike kuwa wa mwisho kupata chakula wakati wa mlo; Imefahamika. Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Mbeya Upande wa Serikali za Mitaa, Costantine M

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya March 18
Posted on Saturday March 18, 2017

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya March 18

BREAKING NEWS: Rais Magufuli afuta agizo la cheti cha kuzaliwa kwa watakaofunga ndoa
Posted on Friday March 17, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amelifuta agizo lililotolewa jana tarehe 16 Machi, 2017 na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe linalotoa sharti la kuwa na cheti cha kuzaliwa kwa watu wote watakaofunga ndoa k

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya March 17
Posted on Friday March 17, 2017

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya March 17

Uko hapa : Home -> habari kuu
Loading...
Bookmark and Share
deSiGned by sundo