ANGALIA/DOWNLOAD VIDEO
MP3 DOWNLOAD
MICHEZO
HABARI ZA MASTAA

Yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 23 Februari


Siku kama ya leo miaka 131 iliyopita, Charles Martin Hall, mvumbuzi na mwanakemia wa Marekani alifanikiwa kuvumbua njia mpya ya upatikanaji wa aluminiamu. Aluminiamu ni chuma cheupe na chepesi kinachoweza kukunjwa kwa urahisi. Aluminiamu hiyo ambayo ni ny

JE WAJUA?/KUMBUKUMBU

Sayari nyingine 7 sawa na Dunia zagunduliwa.


Wataalamu wa masuala ya anga za juu wa Marekani wakishirikiana na wengine duniani, wamefanya ugunduzi mkubwa wa sayari saba zenye ukubwa sawa na wa Dunia ambazo zinaizunguka nyota mojawapo kama ilivyo kwa dunia kulizunguka jua. Wanasayansi hao wa anga za

TEKNOLOJIA

Trump aahidi kuunda silaha zaidi za nyuklia


Rais wa Marekani Donald Trump amesema anataka Marekani iimarishe silaha zake za nyuklia, hiyo ikiwa ni mara yake ya kwanza kuzungumzia silaha za nyuklia tangu aingie madarakani.Bw Trump amesema inaweza kuwa vyema sana iwapo hakungekuwa na taifa lolote lil

HABARI ZA KIMATAIFA

RPC azuiwa kujibu swali la Tundu Lissu


MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemzuia shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na wenzake watatu, kujibu swali linalohusu mamlaka ya kikatiba ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZE

Tetemeko la ardhi latikisa Zambia na Tanzania usiku wa kuamkia leo.


Tetemeko la ardhi ya ukubwa wa 5.7 kwenye vipimo vya Richter limekumba maeneo ya Ziwa Tanganyika usiku wa kuamkia leo.Tetemeko hilo lilitikisa maeneo ya kaskazini mwa Zambia na mitetemeko hiyo ikasikika maeneo ya kusini magharibi mwa Tanzania, hasa eneo l

HABARI KUU

Mmoja afariki, sita hawajulikani walipo baada ya boti kuzama Pemba


Mtu mmoja amefariki dunia na wengine sita hawajulikani walipo baada ya boti iliyokuwa ikitokea Mombasa, kuelekea Wete, Pemba kupigwa wimbi kali na kuzama huko visiwani Zanzibar usiku wa kuamkia leo.Mkuu wa Wilaya ya Wete, Rashid Hadidi alisema watu wengi

(4.75MB)Download Man Fongo - NANI ASIYEPENDA.mp3
Posted on Friday February 24, 2017

Download nyimbo mpya ya Man Fongo - NANI ASIYEPENDA.mp3

(3.60MB)Download G nako na Jux - GO LOW.mp3
Posted on Thursday February 23, 2017

Download nyimbo mpya ya G nako na Jux - GO LOW.mp3

(3.55MB)Download Korede Bello fEAT Kelly Rowland - DO LIKE THAT Remix.mp3
Posted on Thursday February 23, 2017

Download Nyimbo mpya ya Korede Bello fEAT Kelly Rowland - DO LIKE THAT Remix.mp3

(3.0MB)Download Luludiva - USIMUACHE.mp3
Posted on Thursday February 23, 2017

Download Nyimbo mpya ya Luludiva - USIMUACHE.mp3

(OFFICIAL VIDEO) G nako na Jux - GO LOWI.mp4
Posted on Thursday February 23, 2017

Download na angalia video mpya ya bongo flava kutoka kwa G nako na Jux - GO LOWI.mp4

(OFFICIAL VIDEO)Bonge La Nyau - TUSIACHANE.mp4
Posted on Saturday February 18, 2017

Download na angalia video mpya ya bongo flava kutoka kwa Bonge La Nyau - TUSIACHANE.mp4

(OFFICIAL VIDEO)AliKiba fEAT MI - AJE Remix.mp4
Posted on Friday February 17, 2017

Download na angalia video mpya ya bongo flava kutoka kwa AliKiba fEAT MI - AJE Remix.mp4

Feza Kessy 'Napenda Mwanaume Ambaye Havai Skini Jinzi na Ambaye Sio Chips Mayai'


HII ikufikie wewe mpenda burudani na ubuyu wa town! Msanii wa Bongo Fleva, Feza Kessy amepigwa kibuti siku kumi kabla ya kufi kia Sikukuu ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’. Akizungumza na E’bana Dah hivi karibuni ndani ya Ukumbi wa Club Next Door

Leicester City Yamtimua Kocha Wake


Bingwa mtetezi wa ligi kuu England Leicester City imemtimua Kocha wake muitaliano Claudio Ranieri, ikiwa ni miezi tisa baada ya kuiwezesha kupata ubingwa wa Ligi kuu. Leicester iko katika nafasi ya 17, na ikipoteza alama moja tu itakuwa kwenye mstari wa

deSiGned by sundo