Leo katika historia jumatatu ya tarehe 21/09/2015
imewekwa na admin
muda 2015-09-21 06:25:55
Watazamaji 766
Leo katika historia jumatatu ya tarehe 21/09/2015
Uko hapa : Home > je wajua / kumbukumbu muhimu>

Siku kama ya leo miaka 106 iliyopita, inayosadifiana na 21 Septemba 1909, alizaliwa Dakta Osagyefo Kwame Nkrumah mwanasiasa na muasisi wa uhuru wa Ghana. Nkurumah alishiriki kikamilifu katika harakati za kupigania uhuru za wananchi wa Ghana dhidi ya mkoloni Muingereza. Baada ya kujipatia uhuru, kulijitokeza na kushuhudiwa njama kadhaa za kutaka kumuondoa madarakani na hata kumuua Nkrumah. Mwaka 1966 wakati Dakta Nkrumah akiwa safarini nchini China, Jenerali Joseph Ankrah alifanya mapinduzi na kuiondoa madarakani serikali Nkrumah. Mwanamapinduzi huyo aliaga dunia mwaka 1972 akiwa uhamishoni nchini Romania. Kwame Nkrumah alikuwa na nafasi muhimu katika kuasisiwa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM pamoja Umoja wa Nchi Huru za Kiafrika OAU.


Na siku kama ya leo miaka 21 iliyopita Bunge la Taifa la Ufaransa lilipasisha sheria iliyopiga marufuku vazi la staha la mwanamke wa Kiislamu, hijabu katika shule za nchi hiyo. Ufaransa ilipasisha sheria hiyo inayowazuia wanafunzi wa kike Waislamu kwenda mashuleni wakiwa na vazi la hijabu licha ya kudai kuwa ni kitovu cha demokrasia na uhuru. Baadaye sheria hiyo ilipanuliwa zaidi na kupiga marufuku vazi la hijabu katika vyuo vikuu na idara za umma. Wachambuzi wengi walikosoa vikali sheria hiyo wakisema inapingana na Katiba ya Ufaransa na Tangazo la Kimataifa la Haki za Binadamu zinazosisitiza kuwa kila mtu ana uhuru wa kukubali na kutekeleza itikadi zake za kidini maadamu hazina madhara kwa watu wengine.

Unasemaje kuhusu hii?

George g mlasani alisema, tarehe 2016-04-21 07:01:38:
Mabadiliko yeyote yanachangamoto zake

fifa 17 coins alisema, tarehe 2016-08-08 04:02:06:
Come on, cut it out!
fifa 17 coins http://fifavipnews.weebly.com/home/the-origin-of-fifa-tricks-and-skills

cheapest albion online silver for sale on upalbion alisema, tarehe 2016-08-11 09:03:09:
You did a good job .
cheapest albion online silver for sale on upalbion http://www.upalbion.com/albion/albion-online-silver

U4NBA alisema, tarehe 2016-08-11 13:18:03:
I've been through this!
U4NBA https://www.linkedin.com/in/u4nba

Gasper Gadnce alisema, tarehe 2016-08-20 04:45:31:
This site hatareee sanaaa

wvexbqej alisema, tarehe 2017-01-18 14:38:42:
1

alynwtip alisema, tarehe 2017-01-18 14:38:43:
1

nyyrbbfp alisema, tarehe 2017-01-18 14:38:45:
1

wopledgg alisema, tarehe 2017-01-18 14:38:47:
1

rrmtdgyi alisema, tarehe 2017-01-18 14:38:48:
1

xmnycqak alisema, tarehe 2017-01-18 14:38:50:
1

srxtofwo alisema, tarehe 2017-01-18 14:38:51:
1

textile testing instruments alisema, tarehe 2017-02-20 17:34:38:
i like this site a lot!
textile testing instruments http://wiki.dong-ne.kr/index.php?title=User:LavoieWitcher876

Steven Richard alisema, tarehe 2017-04-16 12:38:34:
Iko poa sana


Albion Online Gold alisema, tarehe 2017-05-10 23:47:39:
I'll be there for you .
Albion Online Gold http://albion.blogghy.com/note/1293235/buy-cheap-albion-online-gold-exclusively.html

textile testing instruments suppliers alisema, tarehe 2017-05-12 10:55:30:
I'm all yours´╝ü
textile testing instruments suppliers http://wiki.fabnews.ru/index.php?title=Textile_Testing_Methods_-_A_Wet_Processing_Industry_Requirement6227705

Tafadhali coment hapa

Name:
Email:
Message:
 
HABARI ZA KIMATAIFA
Bookmark and Share
deSiGned by sundo