Top 30

Facebook yaanza kutoa huduma mpya ya Video


Kampuni kubwa zaidi ya mitandao ya kijamii duniani Facebook, inatarajia kuanza kutoa huduma ya video itakayokuwa ikiitwa ''watch'' ama tazama.Teknolojia hiyo imebuniwa ili kushindana na televisheni za kawaida pamoja na mitandao ya you tube,Netflix, twitte

Veta waja na mwiba kwa madereva bodaboda,teknolojia mpya ukivua helmet bodaboda haiwaki.


Mwalimu wa fani ya elektroniki kutoka Mamlaka ya elimu na mafunzi ya ufundi (Veta) kituo cha Kipawa jijini dar es Salaam, Aneth Mganga, amegundua teknolojia mpya ambayo itakuwa mwarobaini kwa madereba pikipiki ambao hawapendi kuvaa kofia ngumu.Kwa kutumia

Ghana yatuma satelaiti yake ya kwanza anga za juu


Ghana imefanikiwa kutuma satelaiti yake ya kwanza kabisa katika anga za juu.GhanaSat-1, ambayo iliundwa na wanafunzi katika Chuo Kikuu cha All Nations cha Koforidua, ilitumwa hadi kwenye mzingo wa dunia kutoka kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu.

Wanasayansi wagundua sayari nyingine 10 zenye uhai


Wataalam wa maswala ya angani wametangaza ugunduzi wa sayari nyengine kumi angani ambazo huenda zinaweza kusaidia uhai.Wanasayansi wa shirika linaloshughulikia maswala ya angani NASA wanasema kuwa data mpya iliochunguzwa kutoka kwa darubini ya Kepler inao

Gari lenye kasi zaidi duniani latarajiwa kufanyiwa majaribio Oktoba


Gari lenye mwendo wa kasi zaidi duniani litakimbia kwa mara ya kwanza kabisa tarehe 26 mwezi Oktoba,Gari litakimbia kwa kasi ya chini wakati wa majiribio kwenye uwanja wa ndege wa Newquay huko Conawall.Wahandisi wanataka kukagua mitambo yote ya gari hilo

Mabaki ya binadamu mpya 'wa kwanza' yapatikana Morocco


Uchunguzi umebainisha kuwa dhana ya kuwa asili ya binadamu wa kwanza ni kutoka Afrika ya Mashariki zaidi ya miaka laki mbili iliyopita sio kweli.Visukuku vya binadamu watano wa mapema imepatikana Kaskazini mwa Afrika na inaonyesha binadamu wa kwanza aliis

Mbunifu wa Android azindua simu yake mpya ya Essential


Andy Rubin, ambaye ni miongoni mwa watu waliobuni programu ya software Android ya Google, amezindua simu yake ya smartphone yenye ncha ndefu.Bwana Rubin aliacha kazi katika Google mwaka 2014 kwa ajili ya kubuni kampuni yake ya uwekezaji wa kiteknolojia.Es

Polisi Roboti kuanza kufanya kazi Dubai


Polisi nchini Dubai wamezindua afisa roboti ya kwanza itakayo piga doria katika majumba ya kibiashara na maeneo ya kivutio kwa watalii. Watu wataweza kuripoti uhalifu, kulipa faini na kupata taarifa kwa kugusa kompyuta iliopo kifuani mwa roboti hiyo. Ta

Kutana na Kijana mdogo wa miaka 18 aliyeunda satellite ndogo zaidi nchini India


Kijana mmoja nchini India ameunda kile kinachotajwa kuwa Satellite ndogo zaidi ambayo itawekwa kwenye mzingo wa dunia katika kituo cha shirika la safari za anga za juu la Marekani Nasa mwezi Juni.Kifaa hicho cha Rifath Shaarook cha uzito wa gramu 64, kili

Betri inayojaa chaji kwa dakika tano kuanza kuuzwa karibuni.


Betri za simu za kisasa za Smartphone ambazo zinaweza kujaa chaji katika muda wa dakika tano pekee huenda zikaanza kuuzwa sokoni mwaka ujao.Teknolojia hiyo iliwekwa kwenye maonesho mara ya kwanza mwaka 2015 na kampuni ya Israel ya StoreDot.Kampuni hiyo il

Dunia yakumbwa na uhalifu mkubwa wa kimtandao.


Shambulizi la kihalifu kupitia mitandao yanatendeka kupitia vifaa vinavyoaminika kuibwa kutoka kitengo cha ujasusi nchini Marekani NSA limeathiri mashirika tofauti duniani.Kuna ripoti za mashambulizi katika mataifa 99 ikiwemo Urusi nchini China. Kati ya

Kutana na Viatu vinavyotumia bluetooth


Sneakerairs ndio viatu vilivyotengenezwa vikiwa na teknolojia ya bluethooth ndani yake, yenye uwezo wa kukuelekeza mahali unapoenda.Viatu hivyo viitwavyo Sneakerais, vina sensor ya umeme ndani yake. Kampuni ya Easy Jey ndio imetengeneza viatu hivyo kwa k

Sumsung yajitosa kwenye uundaji wa magari yanayojiendesha yenyewe.


Ni mwezi mmoja umepita baada ya Kampuni ya Apple kutangaza kuwa watajikita katika utengenezaji wa magari yanayojiendesha yenyewe, tayari mshindani wake kibiashara kampuni ya Samsung nao wamepata kibali cha kutengeneza magari hayo.

Kwa Picha: Treni yenye starehe na ghali yaundwa Japan


Treni ya Suite Shiki-shima imeundwa kuwapa abiria starehe lakini utahitaji kulipia gharama ya kati ya dola 2,860 na 10,000 na unaweza kuchagua kati ya safari ya siku mbili au nne.

Sidiria inayoweza kugundua saratani ya matiti.


Kijana mmoja nchini Mexico amevumbua sidiria inayoweza kugundua saratani ya matiti.Lakini je sidiria hiyo inafanya kazi? Na iwapo inafanya ,inafanya vipi?.Juliana Rios Cantu mwenye umri wa miaka 18 ametengeza sidiria ambayo anasema itatoa onyo la mapema k

Uko hapa : Home -> top 30 videos
Bookmark and Share
deSiGned by sundo