IS walipua madhabahu ya kale Syria
imewekwa na admin
muda 2015-09-21 05:05:14
Watazamaji 413
IS walipua madhabahu ya kale Syria

Wapiganaji wa dola ya kiislamu IS, wanadaiwa kulipua sehemu ya madhabahu ya kidini katika mji wa Syria wa Palmyra.

Kundi la kutetea haki za binadamu nchini Syria limesema kuwa wanamgambo hao wametumia mabomu kulipua hekalu ya kiroma ya Bel.

Shirika hilo limesema kuwa uharibifu mkubwa umetokea baada ya shambulio hilo.

Wiki iliyopita wanamgambo hao wameoneshwa katika video wakilipua hekalu nyingine ya kale ya Baalshamin. Islamic State waliuteka mji wa Palmyra mwezi Mei na kuzua hofu ya kushambuliwa madhabahu hayo.

Unasemaje kuhusu hii?

mussa alisema, tarehe 2015-08-01 08:43:02:
naipenda tabelltz

Deogracias lucas alisema, tarehe 2015-08-12 05:46:56:
ebhna b!g up xana {tabell} na iyo ngoma jamaa yuko poa xana i mean maitendea hak iy video..

RAPHAEL alisema, tarehe 2015-09-01 02:49:03:
FOR NOW TANZANIA GOING UP ON MUSIC ,KEEP IT ON FOR ALL PEOPLE THEY LIKE OUR TALENT ,FOR I CAN SAY NICE SONG AND VIDEO LOVEEEEE ALLL

denis alisema, tarehe 2016-05-08 14:15:24:
amejitahd kaka akaze

Tafadhali coment hapa

Name:
Email:
Message:
 
 
Bookmark and Share
deSiGned by sundo