Picha/Video: Mastaa wajitokeza white house kwenye sherehe ya kuagwa kwa Obama
imewekwa na Kibonde
muda 2017-01-08 03:48:20
Watazamaji 264
Picha/Video: Mastaa wajitokeza white house kwenye sherehe ya kuagwa kwa Obama

Mastaa kibao wikiendi hii walimiminika kwenye ikulu ya white house kwenye sherehe za kuagwa kwa Rais Barack Obama.Kuliwepo na mastaa wa kila aina, wakongwe, wapya, wanamuziki, waigizaji wa filamu, wana michezo na wengine. Pamoja na kukatazwa kurekodi ama kupiga picha ndani ya ikulu hiyo, baadhi yao hawakuchelea kupiga za kujificha.

Miongoni mwa mastaa waliohudhuria ni pamoja na Paul McCartney, Meryl Streep, Pharrell na Solange, Robert De Niro, Common Usher na wengine.

Wengine ni Wale, John Legend, Bradley Cooper, Magic Johnson, Tom Hanks, Kelly Rowland.

Tazama picha zao:

Unasemaje kuhusu hii?

Kuwa wa kwanza kucoment hapa!

Tafadhali coment hapa

Name:
Email:
Message:
 
 
Bookmark and Share
deSiGned by sundo