Barua ya Mohammad Ali kwa Mandela yauzwa mil 19 tsh
imewekwa na admin
muda 2016-12-18 01:21:58
Watazamaji 103
Barua ya Mohammad Ali kwa Mandela yauzwa mil 19 tsh

Barua iliyowekwa sahihi na mwanamasumbwi Mohammad Ali na kuandikiwa rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela, akitoa rambu ramba zake kufuatia kuawa kwa mtu aliyekuwa akipinga ubaguizi wa rangi imeuzwa kwa pauni 7,200 sawa na 19,486,171.63 za kitanzania

Barua wa Muhammmad Ali kwa Mandela

Muuzaji wa barua hiyo Andrew Aldridge alisema, "ni vyema kuwa Mohammad Ali alikuwa mwanamichezo bora zaidi hukui naye Nelson Mandela akiwa mtu mashuhuri zaidi katika karne iliyopita.

Barua hiyo ilipiwa chapa cha msaidizi wa meneja wa hoteli ya Elangeni iliyo mjini Durban ambapo Ali alikuwa akiishi wakati huo.Barua hiyo iliyouzwa kwa mnunuzi kutoka nchini Marekania ilitarajiwa kuuzwa kwa kati ya dola 6,000 na 8,000.

Chris Hani (kushoto)

Chris Hani (kushoto)

Muhammad Ali alikuwa nchini Afrika Kisini kwa kipindi kifupi mwezi Aprili mwaka 1993 baada ya kuwasili muda mfupi baada ya kuuliwa kwa Chris Hani tarehe 10 mwezi Aprili.Hani alikuwa kamanda wa kundi la Umkhonto We Sizwe, kundi lililojihami la ANC.Alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya ubaguzi wa rangi na aliuaw mkereketwa mmoja nje ya nyumba yake eneo la Boksburg.

Unasemaje kuhusu hii?

erick de stanwiz alisema, tarehe 2017-02-21 01:57:49:
oyo mkali #simbaaaaah!!!!!!! uko vizuri Sana Ninja #chibu dänGotè,lakn mkali mbona ulienda out off the beat

Tafadhali coment hapa

Name:
Email:
Message:
 
 
Bookmark and Share
deSiGned by sundo