Harusi ya mtoto wa Rais wa Nigeria katika picha,Dangote ndani.
imewekwa na admin
muda 2016-12-17 12:22:05
Watazamaji 218
Harusi ya mtoto wa Rais wa Nigeria katika picha,Dangote ndani.

 Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria baada ya mtoto wake wa pili wa kike, Zahara Buhari alifunga ndoa na mpenzi wake “Ahmed Indimi” mfanyabiashara tajiri wa mafuta na mtoto wa bilionea kutoka nchini humo, ndoa hiyo ilifungwa katika msikiti mkuu wa taifa na sherehe zikamalizika kwenye jumba la kifahari la Rais Buhari huko Abuja.

Kwa mujibu wa Daily Trust imeelezwa kuwa mtoto wa Rais Buhari amelipiwa mahari ya vipande 12 vya dhahabu ambavyo vina thamani ya shilingi za Tanzania milioni 17.2 Harusi hiyo ilihudhuriwa na watu maarufu kutoka sehemu mbalimbali akiwemo tajiri wa kwanza Afrika, Aliko Dangote pia alikuwemo star muimbaji Wizkid wa Nigeria. Hapa nimekusogezea picha za tukio hilo.

image
 
Kamu ceremony of Zahra Buhari's wedding
Kamu ceremony of Zahra Buhari3
Kamu ceremony of Zahra Buhari2
Kamu ceremony of Zahra Buhari
image
image
image
image
image
 
image
image
image
image
Tokeo la picha la Zahara Buhari wedding
Picha inayohusiana
 

Unasemaje kuhusu hii?

Kuwa wa kwanza kucoment hapa!

Tafadhali coment hapa

Name:
Email:
Message:
 
 
Bookmark and Share
deSiGned by sundo