China yakamata meli ya Marekani
imewekwa na admin
muda 2016-12-17 01:22:11
Watazamaji 120
China yakamata meli ya Marekani

Marekani imetoa ombi kwa China ikiitaka iwachilie chombo cha baharini ilichokamata katika maeneo ya bahari ya kimataifa.Jeshi la wanamaji wa China lilikamata chombo hicho cha utafiti wa chini ya bahari, kusini mwa bahari ya China siku ya Alhamis.

Kisa hicho kilitokea wakati meli moja ya Marekani ilikaribia kukiondoa chombo hicho bahariniChombo hicho kwa jina "naval glider" kinatumiwa kufanyia utafiti viwango vya chumvi baharini na pia vya joto."Chombo hicho kilikuwa kikiendesha utafiti kulinga na sheria za kimataifa kusini mwa bahari ya China,"maafisa wa Marekani walisema.

Unasemaje kuhusu hii?

Kuwa wa kwanza kucoment hapa!

Tafadhali coment hapa

Name:
Email:
Message:
 
 
Bookmark and Share
deSiGned by sundo