Alikiba atoa ratiba ya ziara yake ya Ulaya mwaka huu
imewekwa na Kibonde
muda 2017-01-10 01:00:21
Watazamaji 74
Alikiba atoa ratiba ya ziara yake ya Ulaya mwaka huu
Uko hapa : Home > Habari za mastaa>

Afrika Kusini ni mwezi ujao, Marekani ni March na April na sasa Ulaya nao wamepewa ratiba ya ziara ya Alikiba mwaka huu

Kama tulivyoripoti Jumatatu hii kwamba mwaka huu Ali ameamua kuzichukua fedha zake, na sasa ametangaza ratiba ya awali ya ziara yake ya kimataifa barani Ulaya.

Nchi zenye bahati hiyo hadi sasa ni Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, Switzerland, Sweden na Uholanzi na ataanza kuzunguka huko June na July.

Unasemaje kuhusu hii?

Kuwa wa kwanza kucoment hapa!

Tafadhali coment hapa

Name:
Email:
Message:
 
 
Loading...
Bookmark and Share
deSiGned by sundo