Alikiba atoa ratiba ya tour ya Marekani mwaka huu
imewekwa na Kibonde
muda 2017-01-08 03:36:01
Watazamaji 42
Alikiba atoa ratiba ya tour ya Marekani mwaka huu
Uko hapa : Home > Habari za mastaa>

 

Mwaka 2017 utakuwa ni wa ubusy mwingi kwa Alikiba.

Muda mfupi baada ya kutangaza tour yake ya Afrika Kusini, itakayoanza mwezi ujao, hitmaker huyo wa Aje, ametangaza ratiba ya tour nyingine ya Marekani.

Mkali huyo atatumbuiza katika miji ya Las Vegas, Austin, Houston, Minneapolis na Minnesota. Ziara hizo zitaanza March 4 hadi April.

Katika tour ya SA, Kiba atazulu miji mitano ambayo ni Johannesburg, Durban, Cape Town, Pretoria na Soweto

Unasemaje kuhusu hii?

nathan alisema, tarehe 2015-12-21 05:35:50:
it was bombastic i like it. keep it bro nakubali ile mbaya.

Tafadhali coment hapa

Name:
Email:
Message:
 
 
Loading...
Bookmark and Share
deSiGned by sundo