Focus Yangu Sio Kufanya Collabo Kama Wafanyavyo Wengine – Alikiba
imewekwa na mshindi
muda 2016-10-25 04:47:09
Watazamaji 337
Focus Yangu Sio Kufanya Collabo Kama Wafanyavyo Wengine – Alikiba
Uko hapa : Home > Habari za mastaa>
Alikiba amedai kuwa collabo si kitu kilichopo kwenye menu yake.
Akiongea na mtangazaji wa channel moja hivi kwenye red carpet za MTV MAMA jijini Johannesburg, Afrika Kusini Jumamosi iliyopita, aliyemuuliza iwapo ametumia fursa hiyo kuzungumza na wasanii mbalimbali wa Afrika kuhusu collabo, Kiba alidai kuwa mipango yake ni kufanya muziki mzuri.
 
“Hiyo sio focus yangu, focus yangu ni kufanya muziki mzuri,” alisema Alikiba.
 
Muimbaji huyo alikuwa ametajwa kuwania vipengele viwili akiwa na Sauti Sol kupitia wimbo wao Unconditionally Bae.

Unasemaje kuhusu hii?

Kuwa wa kwanza kucoment hapa!

Tafadhali coment hapa

Name:
Email:
Message:
 
 
Loading...
Bookmark and Share
deSiGned by sundo