Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Disemba 5


Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Disemba 5

Manji atolewa vitu nje baada ya kushindwa kulipa pango Quality Plaza.


KAMPUNI ya Quality Group Ltd , inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuph Manji imeondolewa kwa nguvu kwa amri ya Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi, kwenye jengo iliyokuwa imepanga la Quality Plaza, baada ya kushindwa kulipa deni la Sh Bilioni 13,

Mwanafunzi wa darasa la tano Ajinyonga kwa kufeli mtihani


Mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Kizota mjini Dodoma, Yasin Abdallah (13) amekutwa amejinyonga bafuni nyumbani kwao baada ya kuchukizwa kufanya vibaya kwenye masomo yake. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Ernest Kimoli alisema

Yaliyotokea siku kama ya leo katika historia duniani tarehe 04 Desemba


Miaka 117 iliyopita, kwa mara ya kwanza chanjo ya homa ya matumbo au Typhoid ilitumiwa kwa mwanadamu ili kukabiliana na maradhi hayo ambayo husababisha kuhara damu. Awali chanjo hiyo ilivumbuliwa na mtafiti mmoja wa Kifaransa na baadaye ilikamilishwa na t

JE WAJUA / KUMBU KUMBU

Apple na yenyewe kuunda magari yanayojiendesha yenyewe.


Kampuni ya Apple imetangaza mipango yake ya kuunda magari yanayojiendesha. Kampuni hiyo imekiri hayo kwa mara ya kwanza kwenye barua kwa wasimamizi wa uchukuzi Marekani.Apple imesema inafurahishwa sana na uwezo wa mifumo ya kutumia kompyuta kwenye maeneo

TEKNOLOJIA

Majivu ya mwili wa Fidel Castro yazikwa.


Majivu ya aliyekuwa rais wa Cuba Fidel Castro yamezikwa katika kiunga cha makaburi mjini Santiago, na hivyo kumaliza siku tisa za maombolezo ya kitaifa nchini Cuba.Familia na wageni wachache walialikwa katika shughuli hiyo ya faragha, iliyofanywa karibu n

Trump aanza kuikoroga uchina.


Wizara ya mashauri ya nchi za nje ya Uchina, inasema kuwa imepeleka malalamiko kwa upande unaohusika wa Marekani, baada ya Rais mteule Donald Trump, kuzungumza kwa simu na rais wa Taiwan. Uchina inaona Taiwan kuwa ni jimbo lake lilojitenga. Msemaji wa w

ZA KIMATAIFA
MP3 DOWNLOAD

Tambwe hana uhakika Yanga


YANGA huenda ikampoteza mshambuliaji wake, Amis Tambwe ambaye mkataba wake unaelekea ukingoni, kwani hadi sasa hakuna mazungumzo yoyote waliyofanya naye. Tambwe amebakiza miezi mitano tu katika mkataba wake wa sasa unaotarajia kumalizika mwishoni mwa msi

Mchezaji wa Mbao FC afariki baada ya kugongana na mchezaji wa Mwadui


Mshambuliaji wa timu ya vijana ya Mbao FC U-20 Ismail Mrisho Khalfan anayevalia jezi nambari 4 amefariki Dunia jana jioni baada ya kuanguka uwanjani Kaitaba wakati wa mtanange wao dhidi ya timu ya vijana wa Mwadui FC ikiwa ni mechi ya mwisho ya kumaliz

MICHEZO
ANGALIA/ DOWNLOAD VIDEO
HABARI KUU
HABARI ZA MASTAA
deSiGned by sundo